FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,876
- 44,926
Nimetapeliwa na Airtel Tanzania. Muda si mrefu nimejiunga na moja wapo ya bando za Airtel Tv. Baada ya kudownload app yao ili niangalie TV nakuta kumbe service haijaanza bado, yaani huduma haiko operational, channel zote zinaandikwa "to be announced". Nataka nikawashataki kwa kunitapeli na kunisababishia msongo Wa mawazo. Na it seems wameshawaliza malaki ya watz.(ona Google play comments).
UPDATE: Baada ya kutishia kuwashitaki wamejirekebisha, mchana huu naangalia TBC 1 live bila chenga.View attachment 367293