selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 468
- 639
Tuliza ubongoWakuu kwema?Straight to the point ipo hivi juzi nmeagiza Simu online kwa jamaa flani ambaye actually hatufahamiani but kilichofanya nimuamini ni kuwa kuna kipindi nliwahi kufanya nae Biashara kwa kuagiza simu na actually alinitumia kwa uaminifu mkubwa huku mkoani na nkaipokea but this round nmeagiza simu but baada ya siku kama mbili nikiwa nmeshamtumia pesa naona chenga zimekuwa nyingi hapokei simu na ameni block meaning that kanipiga...Naombeni ushauri nini kifanyike niweze atleast kumpa Adabu huyu mwamba maana simu yake ipo hewani muda wote....But actually nakiri kuwa pia mm nlifanya makosa
N.B Matusis are totally not entertained.
NitWakuu kwema?Straight to the point ipo hivi juzi nmeagiza Simu online kwa jamaa flani ambaye actually hatufahamiani but kilichofanya nimuamini ni kuwa kuna kipindi nliwahi kufanya nae Biashara kwa kuagiza simu na actually alinitumia kwa uaminifu mkubwa huku mkoani na nkaipokea but this round nmeagiza simu but baada ya siku kama mbili nikiwa nmeshamtumia pesa naona chenga zimekuwa nyingi hapokei simu na ameni block meaning that kanipiga...Naombeni ushauri nini kifanyike niweze atleast kumpa Adabu huyu mwamba maana simu yake ipo hewani muda wote....But actually nakiri kuwa pia mm nlifanya makosa
N.B Matusis are totally not entertained.
But ilikuwa aina gani ya simu hiyo ya laki tatu?Wakuu kwema?Straight to the point ipo hivi juzi nmeagiza Simu online kwa jamaa flani ambaye actually hatufahamiani but kilichofanya nimuamini ni kuwa kuna kipindi nliwahi kufanya nae Biashara kwa kuagiza simu na actually alinitumia kwa uaminifu mkubwa huku mkoani na nkaipokea but this round nmeagiza simu but baada ya siku kama mbili nikiwa nmeshamtumia pesa naona chenga zimekuwa nyingi hapokei simu na ameni block meaning that kanipiga...Naombeni ushauri nini kifanyike niweze atleast kumpa Adabu huyu mwamba maana simu yake ipo hewani muda wote....But actually nakiri kuwa pia mm nlifanya makosa
N.B Matusis are totally not entertained.
0765650228Weka namba yake hadharan,
Mnakosea sana kuwatunzia Siri matapeli,
Nyie ndo mnaowafuga, utatapeli na wengin
[emoji23][emoji23], sawa buana, 0765 650 228.Nitumie namba zake chap nishughlike nae sas HV Sina kazi nimpige mkwara
Siku tatu mkuu.Tuliza ubongo
Kwanza zimepita siku ngapi?
Pamoja na kiingereza za kuchovya chovya umepigwa! Matapeli bila wajinga kama wewe hawawezi kuishi. Ushauri ni: acha ubwege wa kutuma fedha kwa mtu usiyemjua.Wakuu kwema?
Straight to the point. Ipo hivi, juzi nimeagiza simu online kwa jamaa flani ambaye actually hatufahamiani but kilichofanya nimuamini ni kuwa kuna kipindi nliwahi kufanya nae biashara kwa kuagiza simu na actually alinitumia kwa uaminifu mkubwa huku mkoani na nkaipokea.
But this round nmeagiza simu, but baada ya siku kama mbili nikiwa nimeshamtumia pesa naona chenga zimekuwa nyingi, hapokei simu na ameni block.
Meaning that kanipiga! Naombeni ushauri nini kifanyike niweze atleast kumpa adabu huyu mwamba, maana simu yake ipo hewani muda wote. But actually nakiri kuwa mimi pia nlifanya makosa.
NB: Matusis are totally not entertained!