Nimetandika mwenyewe ila talala pekeyangu

Kitanda ukutani hii style bado ipo
 
mshana jr ukute mwenyeo unalala kea mitego kisitanduke maana kutandika mtihani ndio mana leo kelele nyingii
 
Last edited by a moderator:
Fanya uekezaji mama mwenye nyumba awe mkweo ili usilipe kodi tena!hahaha i mean uoe sio UWOWE!

Hata kwa ndumba sifanyi hilo kosa xiexie utasave kodi sawa lakini ndo kwisha habari yako
 
Last edited by a moderator:
mshana jr ukute mwenyeo unalala kea mitego kisitanduke maana kutandika mtihani ndio mana leo kelele nyingii

Ila kajitahidi kutandika japo hakijanyooka vizuri...hahaha! Tumuombe atupigie akiwa ndo anaangia kutoka kazini jion halafu asubuhi alikurupuka..hahaha sijui kitakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Ila kajitahidi kutandika japo hakijanyooka vizuri...hahaha! Tumuombe atupigie akiwa ndo anaangia kutoka kazini jion halafu asubuhi alikurupuka..hahaha sijui kitakuwaje?

Jamani jamani jamani....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…