Nimetamani Kwenda Brazil

Nenda tu huko ni nchi nzuri tu

Mimi nlikaaga huko karibia mwaka mzima

Ova

Ba mdogo, ndo maana nakukubali sana Mshua hujawahi kumkatisha mtu tamaa

Ova
 
Kabla ya kwenda Wasiliana na Bruno Gomez akwambie kwa nini ametoka Brasil kuja matopeni kutafuta life tena huko Singida kwenye ukame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…