Nimetamani Kwenda Brazil

Tuagize

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
285
Reaction score
711
Natumai wazima wote humu ndani

Nimetamani kwenda Brazil

Natamani kwenda brazil kwa ajili ya kuchukuwa uraia nchi kwao, Brazil wanatoa uraia kwa miaka miwili tu endapo hutokutwa na kosa la jinai lolote basi utapewa uraia ndani ya muda huo,

pia ikatokea mke amejifungulia mtoto nchi Brazil basi mtoto atakuwa ni raia wa brazil na wazazi wake wote watapewa Ukaazi wa Kudumu nchi Brazil,

na ikumbukwe ukiwa na Passport ya Brazil una uwezo wa kuingia nchi 169 Bila kuwa na Visa isipokuwa Marekani na Canada kwa upande wa magharibi pekee ndo huwezi kuingia bila Visa,

kwangu naona ni fursa ndugu zangu kwenda Brazil Kukaa kwa miaka miwili then upate uraia ikisha utimkie zako majuu zaidi nchi hii ya kina Bey wazee, Mabrother wanayoifaham Brazil tupeni ramani wadogo zenu maisha ya huko na michongo ya huko

Nchi 169


Nauli



Hotel mjini Sao Paulo 18k kwa siku
 
Acha illusion, ni nchi gani ndio ndoto zako unapenda ufike?
 
Reo de janairo = mto wa January
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…