Nimetafuta ajira nimeipata kwenye kampuni la wahindi ila hiyo kazi, ushauri

Mzee kazi yeyote ili mradi inakuingizia kipato ili siku chache ziende fanya unaambiwa usifanye huku mahitaji ya kila siku yapo pale pale...
 
Mkuu kama huna mtaji na huna idea ya kufanya shughuli yoyote tofauti na hiyo kwa maana ya vibarua wa viwandani fanya juu chini utafute kuwa na fani ya ufundi utajutia kamwe ila ina hitaji uvumilivu siku michongo iki tiki inatilia kweli
 
Kutengeneza simu ndo option bora
 
Hakuna kazi hapo ni upuuzi afadhali ukabebe zege upate mtaji ufungue genge
 
maisha hayajawahi kuwa na nidhamu aisee,yakiamua yameamua!
 
Hapo si bora utafute kamtaji kako kidogo uwe machinga mwenyewe.
 
kuwa mwanaume kazi sana! Mpaka unakuja kutoboa ni story ndefu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…