The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,706 Apr 6, 2026 #1 Wapendwa wananangu, Leo, nimesurubiwa. Hivyo, msiposikia toka kwangu, ngojeni hadi nitakapofufuka soon. Hilo ndilo neno la 'Mungu' jamaa alisurubiwa, akafa, akazikwa na kufufuka. Yuko wapi? Msiniulize. Habari ndiyo hiyo.
Wapendwa wananangu, Leo, nimesurubiwa. Hivyo, msiposikia toka kwangu, ngojeni hadi nitakapofufuka soon. Hilo ndilo neno la 'Mungu' jamaa alisurubiwa, akafa, akazikwa na kufufuka. Yuko wapi? Msiniulize. Habari ndiyo hiyo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,460 Reaction score 195,266 Apr 6, 2026 #2 Kila la kheri... Cc: Mahondaw