Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,976
- 2,175
My advice to you is COMMIT SUICIDE!!! WHY??? Because Life begin at conception. Ulipotoa mimba umefanya dhambi ya mauaji. Umedhulumu nafsi ya mtu. According to THE TIBETAN BOOK OF LIVING AND THE DEAD. Mwanamke akitoa ujauzito, nafasi ya mtoto ambaye ujauzito wake ulitolewa hurejea tena baadaye kupitia kikojoleo cha mwanamke huyo huyo. But safari hii mtoto huyo hurejean tena duniani kwa lengo la kulipa kisasi kwa muuaji wake. Na kisasi hiki hulipwa kwa kuchukua nafsi ya mtoa ujauzito. So kitakacho tokea utakufa ukiwa unatoa mimba nyingine au mtoto atakaye zaliwa atasababisha kifo chako hapo baadaye kwa namna moja au nyingine.
SOLUTION : ACHA UONYIBERIBE! GO AND CONFESS AND DO NOT DO SUCH A FETISH ACT AGAINOOOO!
Kitowe hiko kijiti kisha nitafute kwa wakati wako lakini uje na pesa ndio nitakupa Dawa hutashika mimba mpaka wakati unao taka niandikie kwa baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comNimeweka kijiti cha kuzuia mimba, nikaambiwa ntakutana kimwili na mpenzi wangu baada ya 24 hrs. nikafuata ushauri huo. lakini baada ya mwezi na nusu nikagundua na mimba, ikabidi niende private hospital kupata ushauri, dakitari akasema hukutakiwa kukaa 24 hrs, bali ulitakiwa ukae 10 days, bila kukutana kimwili, kwa sababu nilikuwa sijajiaanda na ujio wa huyu mtoto ikabidi mimba itolewe.
Lakini nikamuuliza dakitari, vipi kuhusu hii njiti, nayo nikaitoe au lah, akasema haina shida yenyewe itaendelea kufanya kazi hivyo usiitoe, nikaiacha kwa kufuata ushauri huo, cha kushangaza baada ya mwezi toka nifanye dhambi ya utoaji, nimejigundua na mimba tena...nimestaajabu sana.
Nauliza madakitari, shida hasa ni nini hapa, njiti haina kazi, haikufanya kazi au ushauri niliopata haukuwa sahihi, maana mpaka sasa njiti bado ninayo na sijaitoa....
Jitahidi hii ya pili usiiitoe...mimba ni adimu sana kupatikana siku hizi...jiandae na kulea
Wabongo tunapenda sana unafiki, uwazi kwetu mwiko. Na mtu akiwa muwazi tunamlalamikia. Usipokuwa mkweli huwezi kusaidiwa mawazo sahihi.
Ndio hawa baadaye wanaanza kulalamika nimezunguka kila hospitali lakini imeshindikana. Mimba zoote wanazalia chooni!