Nimesitisha kumuombea Rais

Nimesitisha kumuombea Rais

Anavyonitendea kupitia Lema, Ben, na Melo inanifanya niendelee kusitisha maombi.
 
Kama mambo ndiyo haya ya kutwangana risasi mchana kweupe na hakuna anayekemea bado ninaendelea kutomwombea ili nisishiriki dhambi.
 
Sina muda wa kumuombea yy mm naiombea family yangu tu
 
Kama mambo ndiyo haya ya kutwangana risasi mchana kweupe na hakuna anayekemea bado ninaendelea kutomwombea ili nisishiriki dhambi.
Mkuu! Hapo endelea kutubu tu KWA AJILI YAO; kisasi siyo chako,ipishe ghadhabu ya MUNGU,
 
Hivi kweli unashinda njaa kutwa nzima et umefunga kwa ajili ya magufuli?? Pole sana

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Maombi yako ni machafu..hayafiki kwa unae muomba..acha mara moja
 
Daah! Me ndiyo kwanza nimeanza maombi mkuu...ninamuombea huku nikifunga.."Ee Mungu baba endelea kumjalia afya njema na uzima rais wetu Magufuli ambaye kimsingi ameonesha nia na vitendo vya kuipa nchi yangu maendeleo..Amen"
'
 
Me namuombea Jaji Maraga ahamishiwe Zanzibar kikazi kabla ya mwaka 2020
 
Nilijua mapema kumwombea mtu asiye tayari kutubu kwa kujutia makosa yake ni kupoteza muda.
 
Hapo Kwenye dawa za chanjo kwa watoto ni Kweli la vida Wakuta wampeleka mtoto clinic ukifika waambiwa dawa flani ya chanjo hamna
 
Hapo Kwenye dawa za chanjo kwa watoto ni Kweli la vida Wakuta wampeleka mtoto clinic ukifika waambiwa dawa flani ya chanjo hamna
Hakuna wakati ambao wananchi walilipa gharama kubwa kwenye hospitali za umma kama sasa .

Eti Rais wa wanyonge ! Hivi mnadhani Mungu ni fala kiasi hicho ?
 
We ni bavicha hivyo unapaswa umuombee yule fisadi mliyekuwa mnamdekia barabara!
Ukimuombea sizonje itakuwa ni usaliti/kiherehere chako kinakusumbua!
 
We ni bavicha hivyo unapaswa umuombee yule fisadi mliyekuwa mnamdekia barabara!
Ukimuombea sizonje itakuwa ni usaliti/kiherehere chako kinakusumbua!
Basi mwambieni Magufuli awe anasema anataka wanaCCM tu ndio wamwombee na hataki maombi ya watu wa vyama vingine.
 
Muomba Mungu hachoki na akichoka kashapata zidisha maombi Mungu kwa rehema zake atambadili awe mpole mwenye huruma kwa wananchi na HEKIMA Kama nabii Suleiman
 
Back
Top Bottom