Nimesitisha kumuombea Rais

mimi pia nimesitisha,kila nikiomba maombi yangu ya heri, yanageuka laana kwake,nimeacha kumuombea(sijasitisha)
 
 
unamjua unayemuombea?au umekurupuka tu?mungu aache kusaidia watu Syria hukooo akusaidie mtanzania kwa makosa tuliyojitakia 2015 October

Wewe pia unahitaji maombi. Unajua nilimpigia kura nani? Ni wapi Mungu ameweka ya kipi kiombewe na kipi kiachwe. Ntaendelea kuliombea taifa langu.
 
Kwani alispecify aombewe nini? Isije kuwa waombaji ndio tupo chaka!
 
Hapana ndugu yangu ukiacha kumuombea ndio sheta ataweka kambi kabisa na hali itakuwa mbaya zaid ya hapa ,endelea kumuombea ndugu yangu angalau kidogo kidogo ili hali isiwe mbaya zaidi maombi yako yana umuhimu wake
 
Hapana ndugu yangu ukiacha kumuombea ndio sheta ataweka kambi kabisa na hali itakuwa mbaya zaid ya hapa ,endelea kumuombea ndugu yangu angalau kidogo kidogo ili hali isiwe mbaya zaidi maombi yako yana umuhimu wake
Kwa yale yanayoendelea kutokea mfano (uchaguzi meya Kinondoni) na yeye kuyafumbia macho kwa tafsri nyepesi nikuwa anayabariki.

Kwa hiyo kuendelea kumwombea ni kushiriki dhambi hiyo, kitu ambacho binafsi siwezi.
 
JPM HAJAKUTUMA UMUOMBEE !
 
Siku anatangaza kuombewa ange-specify kuwa anataka wanaCCM tu ndio wamwombee lakini alisema Watanzania wote wamwombee.
Siku nyingine usirudie kupoteza muda bure. Huo muda wa kuombea mtu uwe unautumia kutafuta pesa
 
Mm mwenyew nishasitisha kitambo sana maana hajui chozi la maskini.
Kitu kinachoniuma zaid ni kuharibu utaratibu ulikuwepo wa ajira kwa vijana na kuondoa fao la kujitoa
 
Kumuombea Jumma ni kupoteza muda na kumuongezea hasira Mungu.
 
Ni kweli mimi ni mdhambi kwa vile wewe ni mtakatifu tuambie maombi ya mtu asiye na dhambi yakoje.

Hapa duniani hakuna mtu asiye na dhambi hata aliyetuomba tumwombee definitely anayajua madhambi yake.
Yanajibiwa ndugu
 
Sasa inakuaje tena na kesha omba mjengewe msikiti mkubwa ili mpate mahala pazuri pa kumwombea!?!?
 
Kweli mkuu, nikiendelea kumwombea nitakuwa namimi kama nayabariki mateso ya wananchi.

Watu wanavyolalamika maisha, ajira, wanafunzi wanavyolalamika kukosa masomo, watumishi wanavyofukuzwa hovyo, yote hayo sitaki kushiriki laana kupitia maombi yangu.
Umejiepusha na laana
 
Sasa inakuaje tena na kesha omba mjengewe msikiti mkubwa ili mpate mahala pazuri pa kumwombea!?!?
Kwenye ibada kuna maombi ya aina nyingi hata albadri ni maombi ya ibada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…