Nimesikitishwa sana na ukosefu wa maji Monduli

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
12,090
12,831
Hapa simlengi mtu wala chama wala kupinga mawazo tofauti.
Lakini kama Mtanzania imeniuma sana kuona binadamu wenzetu wa Monduli....kuwa na shida ya maji kiasi cha kuhatarisha maisha yao......

Ref: Kipindi Channel ten cha mimi na tanzania kinachoongozwa na Hoyce temu.

Naona inatosha manake naweza kuchuma dhambi.
 
Hapa simlengi mtu wala chama wala kupinga mawazo tofauti.
Lakini kama Mtanzania imeniuma sana kuona binadamu wenzetu wa Monduli....kuwa na shida ya maji kiasi cha kuhatarisha maisha yao......
....Ref..
Kipindi Channel ten
mimi na tanzania
Hoyce temu
....naona inatosha manake naweza kuchuma dhambi.....
Acha uchochezi.
 
kwani huko hakunaga mbunge! mbona halijawahi kuzungumziwa Bungeni?
 
Hapa simlengi mtu wala chama wala kupinga mawazo tofauti.
Lakini kama Mtanzania imeniuma sana kuona binadamu wenzetu wa Monduli....kuwa na shida ya maji kiasi cha kuhatarisha maisha yao......
....Ref..
Kipindi Channel ten
mimi na tanzania
Hoyce temu
....naona inatosha manake naweza kuchuma dhambi.....
Jamaa anajifanya ameandika kwa umakini sana kumbe anamtafuta mzee wetu Lowassa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni kweli monduli kuna shida ya maji, lakini kuna mengi ya kujifunza nyuma ya tatizo hilo.
Monduli ni kubwa na kwa bahati nzuri/mbaya wakazi wengi wa monduli ni jamii ya wafugaji/wamasai, hawa hawatulii sehemu moja kwa ajili ya kutafuta malisho, hivyo inaleta ugumu kuwapatia huduma km maji, shule, zahanati au hata miundo mbinu.
Hivyo matatizo yao ni vigumu kusaidiwa na mtu mmoja ikiwa serikali haitaweka mkono.
Najua serikali imejitahidi kwa kushirikiana na world bank wametoa maji Arusha ngaramtoni hadi monduli maarufu maji ya lowasa na pia wametoa maji meru..bangata hadi monduli.
Hivyo serikali pamoja na aliyekuwa mbunge wao walijaribu kupunguza makali.
 
Tunashukuru kwa kutupa ufahamu.
 
Tunashukuru kwa kutupa ufahamu.
Kwa nyongeza, kitendo cha lowasa kuvuta maji toka Meru zaidi ya km 50, ilimletea mgogoro mkubwa sana na wakazi wa Meru na miundo mbinu yake iliharibiwa mara nyingi kiasi cha serikali kuamua kujenga kituo kidogo cha polisi hadi leo chanzo kinalindwa.
Ushauri wangu, tusiwe wepesi kulaumu bali tujaribu kujiongeza kupata taarifa sahihi zaidi ya tunazosikia.
 
Angalau jamii tuna watu kama wewe...
Shukran sana.
 
Toa mfano,ni wapi
Si kwamba najisifu..angalau kila wilaya ya nchi hii nimeshawahi kuishi.
Unataka kumaanisha kuwa Minduli ndo Kuna tatizo la maji kuliko maeneo mengine? Ngoja nikupe mifano na watu wa maeneo hayo watakua mashahidi. Chamwino kwa Lusinde, Ileje (huku Kuna sehemu hata bomba la maji hawalijui), Kaliua, Isiman kwa Lukuvi, Serengeti, Kiteto, Ngara, Chunya nk. Kama unamjua anayeyafahamu maeneo haya muulize. Mi bahati nzuri nimefika maeneo hayo ikiwa ni pamoja na Monduli uliyoisakama. Monduli ni nafuu mno!
 
Kwa nyongeza, kitendo cha lowasa kuvuta maji toka Meru zaidi ya km 50, ilimletea mgogoro mkubwa sana na wakazi wa Meru na miundo mbinu yake iliharibiwa mara nyingi kiasi cha serikali kuamua kujenga kituo kidogo cha polisi hadi leo chanzo kinalindwa.
Ushauri wangu, tusiwe wepesi kulaumu bali tujaribu kujiongeza kupata taarifa sahihi zaidi ya tunazosikia.
Mwisho WA hii thread ukweli ndio huu hakuna cha kuchangia tena.
 
Back
Top Bottom