Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders
hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
hivi raisi wetu hana kazi za msingi za kufanya? yes kanumba alifanya kazi nzuri katika tasnia ya filamu lakini je kwa umuhimu gani hata raisi mawaziri wabunge na viongozi wa mkoa kuacha kazi zao na kuenda ktk msib?a sawa viongozi pia ni wananchi yaweza kuwa walimpenda msanii huyu lakini msiba kuwa wa kiserikali? kwani watu wangapi tanzania wameyafanyia mambo makubwa na yamuhimu taifa yani msiba kugharamiwa na serikali hekaheka mtaani ndio maana tupo hivi tulivyo watanzania tunatia huruma.
uliza gharama na michango waliyotoa huko msibani halafu kuna wamama wanasafiri kilometa kumi kutafuta kisima cha maji kitoacho maji japo yana rangi ya kahawia ili mradi makayatumie.
kazi sana kuikomboa tanzania kifikra na mtazamo.
RIP Kanumba
hata wazungu wamo...Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
kama kashinda kwa siku zote mie naona kwa yeye nchimbi ndio kazi yake hasa ikizingatiwa jamaa alikuwa chini ya wizara yakeOna Waziri Nchimbi ameshinda msibani siku Mbili jamani wendawazimu Huu!
Mimi ukiniambia kuna nchi yenye mijitu milimbukeni na mishamba na mijinga kama Tanzania nitakubishia kabisa. Mara ifukuzane na mifupa ya albino mifukoni eti ni utajiri, mara ogope kutetea haki zao, eti ni kuharibu amani na utulivu (wakati wastani wa umri wa kuishi uko 40-45, ajali zikitokea eti ni mapenzi ya Mungu, uf...... Taifa la mijinga. Nahamia walau Kenya
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Kwenda msibani ni kutokuwa na kazi,kwa hiyo
watu walioenda kumuaga Regia Mtema pale karimjee ni kwa sababu walikuwa wamekosa kazi..sio.
Mkuu unaweza kunipa tafsiri ya neno shujaa? au Shujaa siku hizi hili neno limepata tafsiri mpya?nadhani wewe utakuwa sio mjinga ila punguwani, unasema unaangalia tv ofisini badala ya kufanya kazi. Sasa wewe na waloenda kumzika Kanumba kuna tofauti gani. Tupo kumzika shujaa wetu. R.I.P Kanumba
Umesahau kikombe cha babu, watu waliwang'oa wagonjwa hospitalini wakawakokota porini wengine wameenda kufia kule na kuna DECI eti waliambiwa pesa zinapandikizwa kisha zinazaa!! Ukiwaonya wanasema usiwabanie mkombozi wa maskini, kazi tunayo.Mimi ukiniambia kuna nchi yenye mijitu milimbukeni na mishamba na mijinga kama Tanzania nitakubishia kabisa. Mara ifukuzane na mifupa ya albino mifukoni eti ni utajiri, mara ogope kutetea haki zao, eti ni kuharibu amani na utulivu (wakati wastani wa umri wa kuishi uko 40-45, ajali zikitokea eti ni mapenzi ya Mungu, uf...... Taifa la mijinga. Nahamia walau Kenya
Asante Masanilo kwa kujitofautisha nao, niko pamoja na wewe.
Mimi naomba niulize maswali mawili tu,
1. Kwamba Amekuza Tasnia ya Filamu Tanzania, kivipi?
2. Kwamba ameitangaza Tanzania? Kivipi? Kazi gani ya Kanumba inaitangaza Tanzania Yetu? Kazi za kanumba zilikuwa zinaportray utamaduni gani wa kitanzania? au ni mafundisho gani ya msingi yanapatikana kwenye kazi zake?
3. Nani anapinga kwamba, huyu alikuwa ni mmoja wa watanzania ambao hakuwa akilipa kodi wakati alikuwa anajiingizia mapesa mengi kwa shughuli zake? Kwa hili, Rais wa nchi alistahili kuahirisha safari zake za kikazi sababu ya msiba wake?
Ombwe la hekima limetapakaa nchi nzima.