BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Angalia productivity iliyopotea leo na kero barabarani kwa mfu!!! Something is missing kwetu watz
wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga sana..Kanumba anakusaidia nini? unaacha kwenda kufanya kazi upate kuisaidia familia yako unaenda eti kuangalia kanumba anazikwa kama sio utaahira ni nini? bora angekufa kifo cha maana..kafa kwenye uzinifu..to hell with him...kwanza natashangaa sana kama padri atakuja kuendesha misa yake..anapaswa azikwe kama bata tu aliyegongwa na bodaboda
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
si ndio hapo ndugu yangu,nchi hii bwana na mijitu mingine inaunga mkono upuuzi huu!!Leo kuna watu kibao hawajafika maofisini wamejiongezea siku ya kupumzika kwa madai ya kwenda kumzika Kanumba!!TZ eeeeeeeehhhhh....................hii ni kali kwani hata vipindi vya Radio mbalimbali vimekuwa adjusted kwa hii kitu. Sijui akifa na msanii mwingine ghafla itakuwaje?
.....mtu wa watu. Kuhudhuriwa mazikoni na melfu ya watu pia ni bahati...
Hii Tv coverage imewasaidia fans wake nchi nzima, Masanilo take it easy bro.
RIP Steve Kanumba.
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
asante masanilo kwa kujitofautisha nao, niko pamoja na wewe.
Mimi naomba niulize maswali mawili tu,
1. Kwamba amekuza tasnia ya filamu tanzania, kivipi?
2. Kwamba ameitangaza tanzania? Kivipi? Kazi gani ya kanumba inaitangaza tanzania yetu? Kazi za kanumba zilikuwa zinaportray utamaduni gani wa kitanzania? Au ni mafundisho gani ya msingi yanapatikana kwenye kazi zake?
3. Nani anapinga kwamba, huyu alikuwa ni mmoja wa watanzania ambao hakuwa akilipa kodi wakati alikuwa anajiingizia mapesa mengi kwa shughuli zake? Kwa hili, rais wa nchi alistahili kuahirisha safari zake za kikazi sababu ya msiba wake?
Ombwe la hekima limetapakaa nchi nzima.
Nguvu ya vyombo vya habari hii. Kanumba amekuwa maarufu mara tatu ya alivyokuwa hai! Kwa nini JK hakutangaza siku ya mapumziko leo?si ndio hapo ndugu yangu,nchi hii bwana na mijitu mingine inaunga mkono upuuzi huu!!Leo kuna watu kibao hawajafika maofisini wamejiongezea siku ya kupumzika kwa madai ya kwenda kumzika Kanumba!!TZ eeeeeeeehhhhh....................