Nimesikitishwa na Watanzania!

Kweli SK! alikua ni msanii endapo utayazingatia haya, kwanza alikua ni mharibifu wa watoto wetu ona anatoka na under 18!! sio issue kioo cha jamii anakesha kama popo mtoko unaanza saa 6 usiku mnene jamani huu ndio U-superstar wa BONGO!???????
 

Kwa mtindo huu hatuwezi kuendelea tutabaki kuwa watazamaji tu
 

Usipende kulazimisha vitu bila kujua ukweli. Michael Jackson amekufa wengi waliokwenda kumzika ni ndugu, marafiki, jamaa zake pamoja na mashabiki waliokuwa hawana la kufanya Ile siku. Yes, tunawapenda ma celebrities lakini kusimamisha vitu mjini for mtu ambaye achangii chochote katika pato la taifa kweli hapa kuna tatizo na hii nchi na ndiyo maana viongozi wanatutafuna tu kwa ujinga tulionao.
 


This is why I love JF for intelligence. People come here from all walks of life ila wajinga ndiyo wanachukia JF for they can't express themselves na kuona points za ukweli. Haya uliyoyasema ni ya ukweli na ungeyazungumza mtaani/kijiweni watz wangekuua bcs hawapendi kuambiwa ukweli. We fikiria mpaka rais anahairisha safari zake za kusaidia taifa for mtu asiyesaidia nchi (halipi kodi)., si upuuzi huu?
 
Wee ulijuwaje kama hukujishughulisha nae? Mi nafikiri kuzomewa ni aibu Kumbe kwako ni sifa ama kweli akili ni nywele zako kipili pili
 
Hata mke wangu kanisikitisha sana, eti na yeye alizimia aliposikia Kanumba is no longer alive!! Yani sijatamka neno lolote kwake toka Jumanne, sijui nimwambieje!
 
Mchungaji uliretire lini tena kimya kimya mtumishi....kondoo wako wanalitambua hili lakini.

back to topic, kweli hii umsiba ulipewa kipaumbele mno, kuna viongozi wengi tuu na watu maarafu waliwahi kutangulia mblele za haki lakini haikuwa hivi. Naunga mkono hoja

 

Duh, mkuu punguza jazba asee..!
 

Point!
Haya maswali hupati majibu hata ukimuuliza Ruge mwenyewe,
watabaki wanabwabwaja na kutaka kupata huruma zisizo na msingi....
Mkuki wa mwisho waulize "Steps" wameuza nakala ngapi kipindi za msiba, na kodi ni kiasi gani??
 
Watanzania watu wa starehe na sherehe,
wanasahau matatizo na shida zao kwa matukio ya kupita,
wanapumbazwa na kushiba kwa harufu za viungo ama chakula cha kuonjeshwa!!!
Akili za Watanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
R.I.P SK
 
ukifa wewe tutakuacha ujizike tutakuwa busy na kazi
Kwa maana Imeandikwa WAACHENI WAFU WAWAZIKE WAFU WAO!!
Je misiba mingapi inastahili kuendewa kwa jinsi ile? Je haitazamwi kama ni Sanaa ya Maigizo basi Mzee Kipara angelizikwaje? Je kuna siri gani kwa msiba huu? Ni kweli ameijenga na kuitangaza Tanzania? Je kuna mafundisho katika filamu zake? Ukweli ni kwamba sijaona bali zilikuwa ni filamu za burudani zaidi na hili halina ubishi kwa maana ndipo akili za WATANZANIA zilipolalia!!!!
Nguvu kazi kiasi gani itapotea kwa ajili ya misiba,
na tujiulize basi ule wa IGP HM na Mkuu wa Majeshi MK ingelikuwa hivyo nini kingekuwa?
Tunapaswa KUBADILIKA,
Tucheze na kuimba nyimbo zinazojulikana,
ILA NASI KWA MAFUNUNU NA VIONJO VYAKE DAH!! TUMEBAKIZA KUWEKA BARAZA ZA KUSUTANA TU,
NDIO MAANA SISHANGAI KUWA TANZANIA HAKUNA MAGAZETI YA HABARI NA TAALUMA BALI YA UDAKU, BURUDANI, MIPASHO NA MICHEZO TU!!
 
Mkuu, "Viva Riva" utalinganisha na movie gani ya marehemu?
Au ndio nabii hakubaliki kwao?

Sijawahi ona movie yeyote ya kibongo kwenye Internet Movie database, ila hii nimeikuta. Bila shaka Viva Riva zaidi.
Ngoja niitafute niangalie...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…