Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

Ni ------- sn, hawajiamini maana wanalelewa. Na ccm na l.one pale ni mdau. Hivyo tusiwalaumu mbwa(watangazaji) laumu mfugaji wao. Ni radio ya ccm bora hata radio uhuru.
UOTE=samvande2002;10310685]hivi wewe bado unasikilizaga tu hicho kituo cha redio? hicho kituo mbona huwa kina paa kama katwa![/QUOTE]
 
Watu wanajifanya hawasikilizi Clouds wakati kila siku habari za Clouds haziishi humu ndani. Mbona hamsemi hizo radio zingine mnazosikiliza? Ukweli ni kwamba wengi wanasikiliza hiyo Radio na ndiyo maana kila siku habari za Clouds na watangazaji wake zinakuja humu ndani. Kuna radio nyingi sana siku hizi mbona habari zake, nzuri au mbaya haziletwi humu ndani? Unafiki wa kujifanya hamsikilizi wakati mnasikiliza hautatusaidia chochote.
Nimeishafanya utafiti mfupi tu kwa watu wenye magari, kati ya watu 10 wanaosikiliza radio kwenye magari yao angalau 7 wanasikiliza clouds hasa nyakati za asubuhi na jioni. Ubishi hautakusaidia.
 

Ndio maana wengine wana kesi mahakamani kwa ushamba wao. Pamoja na kujipendekeza kwa ccm bado maafande wakawakomalia.
 

Sasa we mburula ulitaka waendelee kutangaza u.p.umbavu!
 
Unachokisema ni kweli mkuu. Hao sio wazalendo, wanaripoti kinafiki sana kubembeleza kuteuliwa kuwa viongozi wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…