NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI
YA CLOUDS FM. Nimeingiwa na
shaka na watangazaji wa clouds
fm leo katika kipindi cha power
breakfast baada ya kutangaza
kwamba hawatatangaza habari za
UKAWA eti wanawapa umaarufu
leo nimejua hawa jamaa ni ccm
pure! poor clouds fm.