Nimesikitika Ustaadhi kafariki sijamwomba radhi kwa nilichomfanyia

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,625
Reaction score
29,891
Alikuwa mwalimu wetu wa Madrasa. Mimi na wenzangu watatu hatukuwa tunapatana naye sababu alikuwa akipendelea sana mabinti flani wawili. Akina Husna na Zuwena. Hawa walikuwa hata wakichelewa vipi wala hawachapi kama sisi

Siku tumemaliza nakumbuka tulikubaliana na wenzangu tukamwekee kumbukumbu kwake. Alikuwa anaishi peke yake si mbali na madrasa. Tulienda usiku umeme haukuwepo kipindi hicho. Mimi na Juma tukakojoa mlango pake.

Ila wale wenzetu wawili wakaweka haja kubwa. Wale madogo hawakuwa na akili kichwani. Imagine kabisa wakashusha kaptula na kunya bila woga.

Wakati huo ustaadhi yupo swalani. Maana watu tulikuwa tunajua kuwa lazima ataenda msikitini. Sijui aliporudi nini kilitokea. Hakutuona tena madrasa

Yale machizi mawili moja leo linaniambia mzee... Ameaga dunia. Sikuwahi hata mwomba msamaha.
 
Kwani inya au mkojo si nu mbolea tu mkuu, anakunya kuku, paka mbwa tunazoa na maisha yanaendelea. Hivyo hakuna kikubwa mlichofanya relax
 
Kama alikuwa anakuchapa huna haja ya kumwomba msamaha maana sasa ngoma ni droo.
 
Yeah.

Ni muhuni mmoja anayejifanya kuwa muislamu wakati sio.

Inshallah kama unaona hivyo. Mimi role model wangu ni Muhammad nafuata njia zake. So kama mimi kafir naye atakuwa kafir plus plus
 
Alikuwa mwalimu wetu wa Madrasa. Mimi na wenzangu watatu hatukuwa tunapatana naye sababu alikuwa akipendelea sana mabinti flani wawili. Akina Husna na Zuwena. Hawa walikuwa hata wakichelewa vipi wala hawachapi kama sisi

Siku tumemaliza nakumbuka tulikubaliana na wenzangu tukamwekee kumbukumbu kwake. Alikuwa anaishi peke yake si mbali na madrasa. Tulienda usiku umeme haukuwepo kipindi hicho. Mimi na Juma tukakojoa mlango pake.

Ila wale wenzetu wawili wakaweka haja kubwa. Wale madogo hawakuwa na akili kichwani. Imagine kabisa wakashusha kaptula na kunya bila woga.

Wakati huo ustaadhi yupo swalani. Maana watu tulikuwa tunajua kuwa lazima ataenda msikitini. Sijui aliporudi nini kilitokea. Hakutuona tena madrasa

Yale machizi mawili moja leo linaniambia mzee... Ameaga dunia. Sikuwahi hata mwomba msamaha.
Matendo yenu sawa na Abujahal ya kumuudhi Mtume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom