Nimeshtuka mtu kaniunga call forward

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
996
Wazima,,

Sasa hivi hapa ,naona kila nikipiga naona CALL FORWARD ON CONDITION.

Nimechek kwe call setting nakuta namba nyingine imekuwa Enabled.

Simu yangu siku tatu mfullulizo sijampa mtu na ina password.

Wakuu.
Je, mtu anaweza kuhack na kukuunga pasipo kushika simu yako?

Je, hii husetiwa katika laini au simu pekee?

Nimecheki jina M pesa haliji,
Je, ni wizi mpya?

Help.
 
Hiyo namba kama inaanza na 0754.. imewekwa na Vodacom mtu akikupigia kama hupatikani simu yake inakuwa diverted kwenye hiyo number then yenyewe automatically inakutumia ujumbe kwamba ulikuwa unatafutwa. Take it easy mkuu hujawa star kiasi cha watu kudukua mawasiliano yako.
 
Nakweli asante hahahhaha
 
Kama hataki hiyo huduma?
 
Pitia uzi huu mkuu
Makinika na tahadhari, kuchukua tahadhari binafsi ni muhimu
 
Mkuu usimpe matumaini, simu zote zinasikilizwa hivi sasa.
Rekodi inawekwa kwa kumbukumbu.
 
ukitaka kmjua ni rahisi sana jifanye kama unaongea una miadi na demu... panga na sehemu kabisa na muda then utajua ....
kama ni watu wa usalama jifanye una deal kubwa sana kama la kuchinja mtu pesa nyingi sana... panga na sehemu then...utagundua.

unaweza pata ka mkasa flan hapo. njoo utube mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…