Nimeshindwa kuroot HTC naomba msaada

Nimeshindwa kuroot HTC naomba msaada

Yahya Asaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
244
Reaction score
28
Habari zenu wanajamvi,

Nina cm yangu htc desere android v2.2.2 nimekua nikifanya jitihada kui Root cm yangu ila ngoma ngumu
Nimedownlod kwenye pc yangu kingo root app ila imeshindikana nimejaribu google nimepewa maelekezo ila bado ngoma ngumu
Naomba msada wenu wanajamvi iwe ndani ya mtandao hata njee ya mtandaao km mtu hupo zanzibar niko tayari kumfuta kwa msaada zaidi
Yoyote yule.

Natanguliza shukrani.
 
Habari zenu wanajamvi
Nina cm yangu htc desere android v2.2.2 nimekua nikifanya jitihada kui Root cm yangu ila ngoma ngumu
Nimedownlod kwenye pc yangu kingo root app ila imeshindikana nimejaribu google nimepewa maelekezo ila bado ngoma ngumu
Naomba msada wenu wanajamvi iwe ndani ya mtandao hata njee ya mtandaao km mtu hupo zanzibar niko tayari kumfuta kwa msaada zaidi
Yoyote yule
Natanguliza shukrani

tumia adb tools kuipush hyo image file ya root
 
Ahsante bro ila kama kuna link unaweza kunitumia ita kua powa zaidi
 
adb tools
Contains:
Adb.exe
AdbWinApi.dll
AdbWinUsbApi.dll
Tumia command line prompt kuipush hyo file
 
Ku-root ndonini wajameni?😱

Rooting means giving
yourself root permissions on your phone. It's similar
running programs as administrators in Windows, or
running a command with sudo in Linux. With a
rooted phone, you can run apps that require access to
certain system settings, as well as flash custom ROMs to
your phone, which add all sorts of extra features.
 
Ahsant bro ngoja nipakuae
Nitarudi kwa fedback
 
Bro mbona hiyo link inakataa haileti majibu wala haileti err yoyote B2L
 
Last edited by a moderator:
Bro mbona hiyo link inakataa haileti majibu wala haileti err yoyote B2L

Inapiga kazi
1407607386691.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mie ujanja wote mpaka leo kuroot galaxy s4 imenishinda
 
Hili tatizo bora ife cm yangu kushida inishende kuiroot
Bro tatizo lipo pale pale
Root inafeli mwisho
Nifanye nini
Msada wako plz
 
Back
Top Bottom