Nimeshinda Millioni Kumiiiii!

Nimeshinda Millioni Kumiiiii!

Nyetk

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,701
Ivi kuna tangazo la biashara linachekesha kama hili la Vodacom Mpesa la jamaa anayesahau yuko kufani anaahirisha aje atibiwe siku hakuna foleni?
 
Ivi kuna tangazo la biashara linachekesha kama hili la Vodacom Mpesa la jamaa anayesahau yuko kufani anaahirisha aje atibiwe siku hakuna foleni?

Ee bwana hakuna! Hilo tangazo ni noma!
 
Yaani nimeshindwa kulizoea kabisa. Kila likitoka lazima nilipuke!
 
kaniudhi yule anayemwambia boss wake akauze chai..amesahau hisani
 
Taifa la mbwembwe,watu mbwembwe ,matangazo mbwembwe,siasa mbwembwe,kilimo kwanza mbwembwe,shule za kata mbwembwe Na Vodacom MBWEMBWEEE.Lakn Tutafika hata Ufaransa walianza Mbwembwe
 
Kiberaaaaaaaaaaaaaaa nyavu zangu zimecheua, weekend yangu itakuwa njemaaaaaaaaaaaaa.

VODACOM WANATUPASUA MBAVU
 
Yani matangazo ya Vodafone sio mchezo yani nikisikia tu na lipuka kama ndugu Nyetk
 
Tatizo liko kwenye uhalisia toka nizaliwe na extended family izi za kiafrica hakuna ata ndugu yangu mmoja ambaye amewai shinda ata kilo tano!
Kuna kipindi inanifanya nisiwe na imani na izi campaign zao!
Kuna kipindi watu walilalamika kuwa ni watu wa North ndo wanashinda the next week tukaona mmoja wa south nae akashinda.
Apo ndo imani ikafa kabisaaaaaaaaaaaaaaa na haya mambo
 
Kuna ulazima wa kuuliza kwenye izi kampuni usika manake watu wanashiliki lakini wanaishia kukatwa ela za sms tu ila kushinda kiukweli ni ndoto, wanashinda tu watu wa matangazo wakina kibera feki.
 
Kuna ulazima wa kuuliza kwenye izi kampuni usika manake watu wanashiliki lakini wanaishia kukatwa ela za sms tu ila kushinda kiukweli ni ndoto, wanashinda tu watu wa matangazo wakina kibera feki.

Wanataka kazini tusiheshimiane! Eti jamaa anamwambia mwajiri akahudumie wateja yeye anaenda kufungua mgahawa wake! Lakini wangapi wanashinda hizo M 10? Usanii mtupu! Vi-sms vyao huwa navifutilia mbali wakinitumia?! Nyamb..f zao.
 
Tatizo liko kwenye uhalisia toka nizaliwe na extended family izi za kiafrica hakuna ata ndugu yangu mmoja ambaye amewai shinda ata kilo tano!
Kuna kipindi inanifanya nisiwe na imani na izi campaign zao!
Kuna kipindi watu walilalamika kuwa ni watu wa North ndo wanashinda the next week tukaona mmoja wa south nae akashinda.
Apo ndo imani ikafa kabisaaaaaaaaaaaaaaa na haya mambo

Mungu wangu sasa mi' mgogo itakuaje!!,................ si ndo utapeli huuuu!!!!!??
 
Katika matangazo yote ya voda me hua nalipenda la mchaga anaomba kazi!!@Kaka naanza kuongea na msungu..kweli voda ni siraha..
 
Matangazo ya vodacom daima huwa yana mvuto wa aina yake. Umesahau lile la konda? wakati wanaanza kutoza kwa sekunde. Nafikiri afisa masoko wao ni mbunifu sana.
 
Ajabu moja ni kuwa kama uliwatafuta hao walioshinda kama wamelipwa pesa utashangaa hakuna hata mmoja. Wizi mtupu.
 
Mpaka sasa katika matangazo ya makampuni ya simu tangazo linaloshika pabaya ni lile la Easypesa la Zantel. Chalii wa Rchuga na demu wake wa kimasai.
 
Taifa la mbwembwe,watu mbwembwe ,matangazo mbwembwe,siasa mbwembwe,kilimo kwanza mbwembwe,shule za kata mbwembwe Na Vodacom MBWEMBWEEE.Lakn Tutafika hata Ufaransa walianza Mbwembwe
Mkuu pumzisha akili kwanza, hapa ni kucheka kidogo; vinginevyo hii nchi bado tunahitaji mabadiliko ya juu haswa siyo haya ya juu juu.
 
Nikisikiaga tu ilo tangazo napunguza sauti.it irritates me
 
Back
Top Bottom