Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,545
- 30,108
Wolokole wote ni misukule ya wachungaji wao.....Misukule ipoo wala haihusiani na uchawi...hata wew ukimchukua mtu ukahamua kumjeuza msukule unaweza,kwanza unaanza kwa kumbrain wash......mengine yanajiset yenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app