utakuta nafasi tayari zina watu wao ndio hapo wanaponiudhi hawajui watu wanatumia hela ku apply na kwenda interview
wewe ombaJamani hivi sisi ambao hatuna uzoefu mnanishaurije niombe au niache tu maana wanataka uzoefu 2 years
Kama, unajulikana huko na kibopa yeyote, utaweza pata kazi lkn kujaribu pia ni muhimuNaskia jamaa ni wabaguz nomaaaa....nimeambiwa huku kitaa...Sasa nahs story tu...hivi ni kweli?????
Ngoja nipelekeKama, unajulikana huko na kibopa yeyote, utaweza pata kazi lkn kujaribu pia ni muhimu
Unampeleka chakawewe omba
mm sijaomba post hyostores cum wanalipwaje mishahara?
mimi nataka kutuma maombi sasa hivi..duh!bora utafute serikali kuu maana mkuu anataka mishahara na posho za watumishi wa umma itafanana