Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,649
- 47,135
Katongoze ukachape katatuheshimu wanachama, tunakutoa mwangaHasa kuna Kadada number 4 pale keupe ivi yani kanadharau sana chief
Katongoze ukachape katatuheshimu wanachama, tunakutoa mwangaHasa kuna Kadada number 4 pale keupe ivi yani kanadharau sana chief
Itaanza kutumika lini??? Ndiyo inatumika mzee baba,Kwani sheria ya kikokotoo itaanza kutumika lini?? Naomba kufahamishwa..
Mkuu, ukiachishwa kazi, Fao la kujitoa ukifuatilia unalipata?.Wengi tumefukuzwa kazi hata Mimi ,nilisimamishwa kazi nikadai mafao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Linaitwa fao la kukosa ajira sio fao la kujitoaMkuu, ukiachishwa kazi, Fao la kujitoa ukifuatilia unalipata?.
Kama zipi mkuu? Mfano Kama mtu ameachishwa kazi na anahitaji kupata lile Fao la kujitoa, Nini anaweza kufanya ili alipate?wengi wenu huwa mnakosa supportive document ndo maana mnazungushwa kiongozi
Unemployment benefitMkuu, ukiachishwa kazi, Fao la kujitoa ukifuatilia unalipata?.
Mweeh ina maana leo naweza kwenda kudai kahela kangu? Uko sure mkuu?hiyo sheria bdo haijawa applicable
Fao la kukosa ajira si ndo la kulipwa kwa miezi sita 33% ya mshahara wako wa mwisho? Mimi namaanisha Kuna possibility ya kuchukua michango yako yote kwa mkupuo?.Linaitwa fao la kukosa ajira sio fao la kujitoa
Hiyo huwezi mzee labda ukaipate Kenya, Tanzania hakuna biashara ya hivyoFao la kukosa ajira si ndo la kulipwa kwa miezi sita 33% ya mshahara wako wa mwisho? Mimi namaanisha Kuna possibility ya kuchukua michango yako yote kwa mkupuo?.
Sidhani kama baada ya miezi 18 wanakupa hela iliyobakia. Sheria yao inasema baada ya miezi 18 unaweza kuomba kuhama kwenda kwenye mfuko wa kuchangia kwa hiyari na hawasemi watakupa hela zilizobakia ila wanasisitiza uendelee kuchangia kwa hiyari. Kama kuna mtu amechukua michango yake baada ya miezi 18 atoe ushahidi.Wanakupa asilimia 33% ya mshahara wako uliokuwa unapata kabla ya kuachishwa kazi kwa muda wa miezi sita then usubiri tena miezi 18 ndio watakupa pesa yako iliyobakia.
Ushauri huo ni wakishirikina mkuu, utakua unafanya biashara wewe unachukia walioajiriwaKuna haja voluntary retirement age ya nchi hii iwe 35 na mandatory retirement age iwe 40! Tatizo litakuwa limekwisha. Beyond 40 tuwaachie wanasiasa tu maana wao kazi zao hazifungwi na umri; ajabu sana!
Aifuem mkuu tumesoma social securities/ public insuarance mtusamehe ndugu zetu sio sisi ni wakuu wetu ndo wanawazungusha sisi wengine ni mbulukenge tu.
Kwani mafao, bado yanatolewa, si kuna tamko Hadi mtu afikishe miaka 60.Ama Mimi nimelala usingizini bado?
Be serious mkuu! Kwa mfumo wa elimu ya kibongo naona kama kwa huo umri ni kuwaonea watu.Kuna haja voluntary retirement age ya nchi hii iwe 35 na mandatory retirement age iwe 40! Tatizo litakuwa limekwisha. Beyond 40 tuwaachie wanasiasa tu maana wao kazi zao hazifungwi na umri; ajabu sana!
Juzi Kati nikiwa kwenye jiji la maraha niliingia kwenye ofisi moja ya mkoa ya NSSF. Nilichokuta pale kilinishangaza sana, kulikua na watu wazima wawili wengine wote zaidi ya 50 Ni vijana under fourty years. Wote wamesimamishwa kazi wamekuja kudai mafao.
Ilibidi yule Askari wa suma pale getini awe na kazi ya ziada ya kuruhusu waingie kumi kumi kupunguza msongamano ndani.
Zamani NSSF ulikua hukuti mtu asiye na mvi au kipara. Leo hii wanaodai mafao vichwani Ni viduku na Rasta kwa wadada kichwani Ni twende kilioni.
Mimi nimesemea Dar kwenye viwanda. Huku ziko hizo kampuni za watalii lakini number ni negligible.Kwa anayefuatilia habari za kitaifa na za kimataifa hiyo sio ajabu....
Haujui mji wa Arusha unategemea biashara ya utalii kwa kama 60% ambayo kwa kiasi kikubwa imeadhiriwa na Korona
hivyo makampuni mengi hasa yale yenye wafanyakazi wengi yameshindwa kujiendesha na kulazimika kupunguza wafanyakazi...
Hukutaja jina la jijiMimi nimesemea Dar kwenye viwanda. Huku ziko hizo kampuni za watalii lkn number Ni negligible.
Imani yangu kulingana na awamu nidhamu za watumishi zimeboreshwa Sana, haya tena yanatoka wapi wajameni?Watanzania ni wapumbavu sana. Unakubaliaje kudharauliwa na kutukanwa na mtumishi wa umma ???
Piga spana