Nimeshangaa sana Marekani kutuma ujumbe mzito Venezuela kukutana na Maduro

Naona hali ishakuwa mbaya mpaka kwao, jana nilitizama habari ya UTV saa mbili, Evona Kamutu alimuhoji mmoja wa watanzania anayeishi Alabama, anadai bei ya mafuta Marekani imepanda karibia mara mbili.
 
Natizama habari mda huu UTV, Evona Kamutu amuhoji mmoja wa watanzania anayeishi Alabama, anadai bei ya mafuta Marekani imepanda karibia mara mbili.
Unampa adhabu mtu kukaa juani na mwenyewe unamsimamia hapo hapo juani kutwa nzima ndio hii, marekan uwezo wa kufikir ushafika mwisho sasa hivi anabahatisha tu nae aonekane mtu basi
 
Unampa adhabu mtu kukaa juani na mwenyewe unamsimamia hapo hapo juani kutwa nzima ndio hii, marekan uwezo wa kufikir ushafika mwisho sasa hivi anabahatisha tu nae aonekane mtu basi
Hawa jamaa ni viazi sana, vikwazo wanaweka wao wenyewe halafu wanamlilia waliomuwekea vikwazo
Screenshot_20220311-094218_RT News.jpg
 
Uko wapi mkuu!!mbona nchi karibia zote za ulaya tayari zimeshakubali kuachana na mafuta ya urusi, kwa muda tofauti tofauti, UK, yeye amesema kufikia mwishoni mwa mwaka huu, atakuwa ameshaachana nayo kabisa!!na VENEZUELA, ameshakubali, saudi arabia naye, na OPEC+, tayari wameshakubali kuongeza uzalishaji mafuta kwa wingi!!URUSI, huko tuendako ataishi maisha ya kiyatima yatima.
Wewe ndio uko nyuma ya wakati! Maduro kawageuka! Kasema wamtambie kwanza rasmi kuwa ndiye Rais halali wa Venezuela Kisha warudishe pesa zote walizochukua kwa nguvu na kumpatia kibaraka wao Guaido.
Lakini pia akasema urafiki wake na Putin usiguswe!! Kuona hivyo Marekani kasepa!!
 
Muda ni mwalimu mzuri!!utaongea
 
Back
Top Bottom