Nimeshangaa sana! Eti kuna Chama kinaitwa CHAUSTA?

Nimeshangaa sana! Eti kuna Chama kinaitwa CHAUSTA?

Unashangaa hicho kuna chama kingine kinaitwa Chadema eti na chenyewe kimesimamisha mgombea Karenga,kweli Tanzania tuna vyama vingi kweli.
 
Unashangaa hicho kuna chama kingine kinaitwa Chadema eti na chenyewe kimesimamisha mgombea Karenga,kweli Tanzania tuna vyama vingi kweli.

Hakuna karenga labda kwenu,Tz kuna kalenga.
 
Hao ndio ccm bwana, huwezi kupewa usajili kiraisi kama wewe sio mamluki wa ccm, kama huamini jipangeni muende mukaombe usajiri muone kama mtapewa kiulaini kama tuvyama huto, kumbuka ka chama kalikoanzishwa na Hamad Rashid ka ADC, kanatumia rangi zote za bendera ya CHADEMA, lakini kalipewa usajili bila matatizo, lengo ni kuanzisha bifu na Chadema ambao ni tishio kwa ccm, cha kushukuru ni kwamba, watanzania wameelimika, hawahitaji vyama saizi, kama wewe ni mzuri, utaungana na wenzio wanaochapa kazi, sio kuwagawa watu.
 
Ndugu zangu kiukweli nimeshangaa kuona kuna chama cha siasa kinaitwa CHAUSTA na kimempitisha Richard Minja kugombea ubunge jimbo la Kalenga-Iringa.

Basi kama ndo hivi hadi 2020 tutakuwa na utitiri wa vyama zaidi ya 30.

Naomba wanaojua kirefu chake watuambie maana nimekuta katika gazeti la Mwananchi likiwa hivo hivo.
Wewe unakalia kusoma Magazeti na Habari za michezo tu na earphone masikioni hata kama unaoga utayajuaje ya upande mwingine.
 
Ndugu zangu kiukweli nimeshangaa kuona kuna chama cha siasa kinaitwa CHAUSTA na kimempitisha Richard Minja kugombea ubunge jimbo la Kalenga-Iringa.

Basi kama ndo hivi hadi 2020 tutakuwa na utitiri wa vyama zaidi ya 30.

Naomba wanaojua kirefu chake watuambie maana nimekuta katika gazeti la Mwananchi likiwa hivo hivo.

minja,?huyo ni mwanakalenga kweli? muasisi wa hiki chama ni nani? asili yake ni wapi?
 
Ndugu zangu kiukweli nimeshangaa kuona kuna chama cha siasa kinaitwa CHAUSTA na kimempitisha Richard Minja kugombea ubunge jimbo la Kalenga-Iringa. Basi kama ndo hivi hadi 2020 tutakuwa na utitiri wa vyama zaidi ya 30. Naomba wanaojua kirefu chake watuambie maana nimekuta katika gazeti la Mwananchi likiwa hivo hivo.
Wanatibua mipango ya vyama vingine, zile swing votes!
 
Back
Top Bottom