Ndugu zangu kiukweli nimeshangaa kuona kuna chama cha siasa kinaitwa CHAUSTA na kimempitisha Richard Minja kugombea ubunge jimbo la Kalenga-Iringa.
Basi kama ndo hivi hadi 2020 tutakuwa na utitiri wa vyama zaidi ya 30.
Naomba wanaojua kirefu chake watuambie maana nimekuta katika gazeti la Mwananchi likiwa hivo hivo.

Reply With Quote