Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,252
- 24,088
Nimekataa kuwa chawa tangu nikiwa mdogo sana.
Biashara ya kusifu na kuabudu mtu nishakataa kitambo mno.
Nikiwa Uvccm mtiifa mwaka 2008-2010 Dr Slaa akikiwasha na sharabaro unanionea wa msonga.
Kuna kiongozi wetu alituandaa tuje tusifu na kuabdu kwakwe pamoja na viongozi wengine wa juu .
Wenzangu walikubali hata mimi mwanzo nilikubali lakini usiku ule sikulala nawaza hivi Miki nikamsifie fln kisa ni mwana ccm na kiongozi wetu?
Kesho yake niliwapigia simu wenzangu nikawaambia haiwezekani kama wao wataenda kusifu mimi wala sitakuja kwenye mkutano huo.
Na kweli si kwenda nikaachana na uongozi mwekiti uvccm kata!
Maisha yakaendelea bila uchawa hatimae nikaajiliwa kusimamia duka la boss mmoja hivi mpenda sifa kama wahaya yamkini tulikuwa 5 ila mie ndo nilikuwa foreman wao.
Jamaa walikubali kuwa chawa lkn mie ilibaki kama ndio ni ndio na hapana ilikuwa hapana bila kupindisha kitu.
Hatimae tukazinguana nae.....maisha yakaendelea bila uchawa.
Nikapata kazi kwenye mgodi mmoja mkubwa hapa nchini kama Miner Training asee tukaanza kuambiwa bila kuwa chawa(kujipendekeza )kwa wakubwa hutoboi utabaki utabaki na mshahara wako kichele tu wenzako wakienda level na level.
Sikukubali kuwa chawa wenzetu kazaa wakaanza udalali wa kuuza maneno na kujipendekeza kwa madosi wetu na kweli haikupita muda wakapewa machine.
Kutoka kwenye 540k hadi 1470k basic salary. Mimi haikunisitua niliendelea kupiga kazi.
Finally akaja kiongozi mwingine muda ule ninajua machine kubwa mbili jumbo na solo pamoja kadogo ka Long hole.
Jamaa yule akawa anaambiwa na madilira (operator) pale wanapomiss wanamuambia mpe fln machine no fln atafanya kazi vziuri anajua kuliko hata wakina fulani.
Nikipiga siku kadhaa kwa ufanisi.
Kutoka kwenye 603k hadi m3 na utitiri kadhaa (basic salary)
Kisicho riziki hakiliki underground kukanishinda niliugua ikabidi nirudi surface kama ............
Huku nako nikakutana na mambo yale yale ya uchawa ili boss uwe karibu yake muhimu ulambe matako yake hapo sasa atakupa offer mara vi bonus kadhaa sasa hapo watu wasiojiolewa wanaona ni fursa sasa.
Mtu akiwa chawa kwa hakika huwa namshusha hadhi kwa kiwango chote hata kama angekuwa nani.
Chawa popote afikapo ni mnafiki
Chawa hana akili
Chawa ni msaliti wa waziwazi mfano mzuri tunao hapa hapa jf.
Kwakweli ukiniambia niwe chawa wako ni sawa na kuniambia nilambe mkyundu wako jambo ambalo haliwezekani hata kama ungekuwa na pesa kiasi gani.
Zaidi ya hapo nitakuwa mbali zaidi na wewe na kama haitoshi utakuwa adui yangu tu maana kitendo cha kunifanya niwe chawa wako umeona kabisa sifai hadi sifai tena.
Uchawa ni laana. Usikubali mtoto wako awe chawa kisa tu anapata hela ama mafanikio kizazi chako utakipoteza.
Chawa huyo ni mrahisi sana hata kuuza utu wake kwa vipande vya fedha.
Angalia tukio la jana la wakatoliki fake imagine hapo yupo mama yako ama baba yako aibu utakayoina wewe mtoto si ya dunia hii.
Imagine mzee wako kaunga msafara ili alipwe 20k tu maskini aibu sana.