Nimeshaivua rasmi vyeo UDOM

Ni simu unayotumia ndo haina uwezo,mbna wengne kila siku tuna access,..usituhumu usichojua
 
Ni simu unayotumia ndo haina uwezo,mbna wengne kila siku tuna access,..usituhumu usichojua
 
Ni simu unayotumia ndo haina uwezo,mbna wengne kila siku tuna access,..usituhumu usichojua
 
Kwanin watu wakipata matatizo katika SR wanaelekezwa waende utawala wa chuo, ungukua umesoma hapo ungejua, acha kudanganya watu boga wewe, ulishawai kusikia wanaambiwa nenda college ya informatics wakarekebishe hilo tatizo.
Punguza Ufamba mkuu wangu...
 
Karibu The university of Dodoma,

Hakika ukija na notions mbovu, au nzuri utaupata ukweli stahiki....
Don't judge a book by its outside cover.
 
Ukiwa hukipendi kitu utakitafutia mapungufu mengi na of course utayapata. Hiki ndicho unachokifanya. Kusoma MUHAS haimaanishi hutaugua au kufa. Kuna mambo ni technical kiasi hata wewe ukielezwa unakubaliana.

Mi nimesoma hapo UDOM, nakubali uwepo wa mapungufu ambayo mengi yalifanyiwa kazi. Na kusema ukweli hata hapa kazini hakuna anayeamini nikiwaambia nilisoma UDOM.

Badili fikra zako kidogo, UDOM sio chuo kizuri kwa baadhi ya mambo (minor) lakini ukienda kitaaluma mi naona kwa kweli kinajitahidi sana given it's age.
 
Hawa wengi wamekaririshwa kuwa UDOM chuo cha vilaza.
So wakikuta weakness ndogo tu, tayari wanahukumu
Waulize UDOM ina rank gani kwa Tanzania halafu walinganishe na hivyo vyuo vyao.
Nazifaham product nyingi za UDOM zinapiga kazi katika mashirika makubwa na wapo vizuri. Hii akili sijui wameitolea wapi.
 
Ukiivua vyeo wewe tu hakuna shida.
Utakuwa umekaa umeng'ang'ana kufungulia simu badala ya kwenda internet Cafe.
Hujawahi kukaa pale ukasoma Ila unakuja tu kajiropokea kwamba udom ya hovyo
 
Ni kweli wahusika wa website ya udom kwa kujua au kutokujua wanakiharibia chuo chao. Tovuti yao ni tatizo katika utoaji wa habari kwa wakati
 
UDOM ina collage saba zote zinajitegemea kwa kila kitu labda nikuulize nani specific au collage gani unadhani iko responsible na swala hilo la website?
Achaga ujinga weww.... Mahaba ya kidwanz... Unaambiwa udom.

Unasema ina vitaule saba.

Si hatuongelei viteule.. Tunaongelea udom.

Usipe kutetea haujengi... Ilo tatizo hakuna asiyelijua
 
Rank ya nin wewe.. Baada ya kufanya vitu vikaonekana...

Kawebsite based apps kidogo kinawashindwa munatengeneza ujinga ujinga alafu unasema uliza tuko rank gan...

Ndio nin sasa
 
Kwa hizi comments zenu hata mimi ambae siijuh udom naanza kuelewa uelewa wenu mdogo saaana... Nyie watu.

Anaongelea mambo ya it.. Na it ipo hapo chuoni... Unasema usijaji taaluma kwa mambo ya utawala..

Sasa wapi kaongelea utawala.

Au haujajua utawala ni nin?

Yeye kaongelea mfumo wa technolojia uliotumika ni mbovu mno haukusukwa ipasavyo... Sasa iyo ni elimu au utawala,??

Utawala ni km angesema nilifika chuoni sijatekelezewa tatizo... Watumish wana dharau nk.


Au ingekuwa udom hakuna faculty ya it tungesema pengine utawala umezingua
 
Ndio maana wengine shule tulikimbia.
Mjadala unaondeshwa na wasomi unakosa uzito na habari zenye uhakika, unaendeshwa kwa mihemko na ushabiki, sio sawa.

Mazungumzo yamehama kutoka kwenye tatizo la website hasa upande wa usajili na kwenda kubishana ubora au nafasi za vyuo bila facts, hili ni tatizo.
 
unajua ulichokiandika mkuu, kama wewe ni muajiliwa wa Udom basi nitakuwa sahihi kukuambia wewe ni kilaza.
unaongea nje ya point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…