ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Aug 22, 2013 #1 habarini Nimeshafungua Web yangu kwa kuwatumia webstart ila kuna tatizo nimelipata wakati nafuata yale maelekezo yao kuna kitu nimeshindwa kukifanya nacho ni kujiregistere kwenye domain naomba msaada wenu thanks
habarini Nimeshafungua Web yangu kwa kuwatumia webstart ila kuna tatizo nimelipata wakati nafuata yale maelekezo yao kuna kitu nimeshindwa kukifanya nacho ni kujiregistere kwenye domain naomba msaada wenu thanks
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,293 Aug 22, 2013 #2 kujiregister unaweza kuwasiliana na kampuni zinazofanya kazi hiyo kama Extreme web technologies..search google utapata contact zao..
kujiregister unaweza kuwasiliana na kampuni zinazofanya kazi hiyo kama Extreme web technologies..search google utapata contact zao..
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Aug 22, 2013 #3 Mwandikie C6 atakusaidia hiyo domain ndani ya masaa kadhaa tu. Na kwanini umemua kutumia webstart? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016