Yunku Zungu
Member
- Sep 28, 2018
- 8
- 6
Funguka mzee baba nini anakufanyia huyo my wife wako. Kuna mtu aliwahi nambia hizo ni kusudi kabisa.Hata kama mnasema ni mimba kunichukia sizani nahisi ni makusudi naanza amini kumbe wanaume wote wanaokimbia wanawake wenye mimba sio makosa yao. Na hivi nahisi uyu mwanamke ananifanyia kusudi baada ya kibarua changu kuuisha ama?
hahaa acha kuwa na moyo mwepesi ivoo,komaaa naeHata kama mnasema ni mimba kunichukia sizani nahisi ni makusudi naanza amini kumbe wanaume wote wanaokimbia wanawake wenye mimba sio makosa yao. Na hivi nahisi uyu mwanamke ananifanyia kusudi baada ya kibarua changu kuuisha ama?
😀😀😀😀😀👏👏👏Brother unanifanya nicheke sana kwamba hana hata masaa 24 tangu ajiunge jamii forumnha ha ha ha haHuna hata masaa 24 toka ujiunge na jf
Kwani hiyo mimba mpenzi wako kaitoa wapi? Si amrudishie huyo aliyempa ili mambo yenu yawe mazuri tena?Hata kama mnasema ni mimba kunichukia sizani nahisi ni makusudi naanza amini kumbe wanaume wote wanaokimbia wanawake wenye mimba sio makosa yao. Na hivi nahisi uyu mwanamke ananifanyia kusudi baada ya kibarua changu kuuisha ama?
Bora wewe kaka watu tunakuna nazi; blenda tushajua kuzitumia balaa; mpira siku hizi ni home tu utoke unajipenda!! Yaani hadi siku za kwenda leba tunahesabu ziishe maana ni adhabu; mchakamchaka nyumba haikaliki mjomba!!Hata kama mnasema ni mimba kunichukia sizani nahisi ni makusudi naanza amini kumbe wanaume wote wanaokimbia wanawake wenye mimba sio makosa yao. Na hivi nahisi uyu mwanamke ananifanyia kusudi baada ya kibarua changu kuuisha ama?