Nimesamehe lakini sitasahau

Eeehh mkuu

Samahan kuuliza lakini
Why are you so negative about love thing
Kupitia tu threads zako... unaponda sana mahusiano na ndoa
Kuna kitu ushapitia au
Weren’t your parents married?????
Nimsaidie Kujibu Kuna baadhi ya Wanawake wanaudhi sana kiasi kwamba maisha yako na watoto kama mnao yanaharibika Kabisa...!! Ujue hakuna Kitu kibaya kama break up. Hasa ikiwa uliweka Kila Kitu Ili Relation idumu milele...!!!
 
Pole sana...

Maji ulishayavulia nguo huna budi kuyakoga...
 
PIA PITIA POST YAKE HII UTANGUNDUA YUPO SERIOUS NA ANALICHOANDIKA.
Hu
Huyu jamaa ni Kweli Pitia Post zake za nyuma ni wale Haleluya Amen wanaoshona vitenge sare na Mke
 
WEE JAMAA HUZALISHI YAAN HUNA NGUVU ZA KIUME ??


KWAHIYO HILO DUBWASHA LAKO ,MTOTO WAKE KUTUMIA MAJINA YAKO .

NDIO UNAJIONA BABA ??? MAMAEEEE
Naona jamaaa kuna matatizo atakuwa nayo sasa yule mwanamke anatumia udhaifu wake kumuumiza na jamaa keshajikatia tamaa anavumilia kila aina ya ujinga,ee Mungu msaidie kijana hyu sisi hatujui nini kinamsibu lakini hii si hali ya kawaida
 
Carlos kachafukwa vibaya,ila kiukweli inaudhi watu hawana shukrani yaani mijitu mingine haisitiriki
 
Just be a man, usiwe katili.
 
Kuhusu mtoto, fanya kama unalea mtoto wa mazingira magumu, ada peleka mwenyewe.

Huyu kunguru asikuzoee atakuharibia mahusiano mapya.
Kumbe onyo la kutokuoa singo parent linakuwaga na ukweli?
Acha jamani ada anapeleka vipi wakati baba wa mtoto na mama wananyanduana,hizo ni huruma za wapi?yaani utunze wewe afu watombe wengine?
 
Acha jamani ada anapeleka vipi wakati baba wa mtoto na mama wananyanduana,hizo ni huruma za wapi?yaani utunze wewe afu watombe wengine?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dunia ndivyo ilivyo mkuu atombha mwingine anatunza mwingine
 
[emoji117]Et leo naenda kwa mwanaume usinitext??

MAMAEE KABISAA, HUONI HUYO ALITAKA KUKUUA ?? HUONI HAJALI UFANISI WA KAZI ZAKO??

MANINAA KABISAAA WEE, MALAYA MMOJA ASOJITAMBUA, UMEMUOKOTA HUMU NA KESHAZALISHWA , NDIO ANAKUENDESHA KAMA MJINGA????
Yani dingi sijawahi kuona dem kiazi kama huyu

Na muhuni kashikilia tu
 
Aiseh kwamba naenda kwa mwanaume usinisumbue

Na muhuni unakomaa na hilo caterpillar tu
 
Kumbe wanaume wa hivi bado wapo[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Umerogwa sio bure.....Ushauri gani sasa hapa, Si umesema alirudiana na yule jamaa aliyemzalisha mwanzoni, Mtoto si yuko kwa Baba na Mama yake au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…