Kitabu JF-Expert Member Jan 7, 2011 302 26 Jul 3, 2011 #61 Kovu lazima liwepo,na maumivu kupoa inahitaji muda,unachohitaji ni kuwa karibu zaidi na mumeo,aonyeshe kujali zaidi,na wewe vivyo hivyo na hatimae litakuwa historia.Naamini hii itasaidia
Kovu lazima liwepo,na maumivu kupoa inahitaji muda,unachohitaji ni kuwa karibu zaidi na mumeo,aonyeshe kujali zaidi,na wewe vivyo hivyo na hatimae litakuwa historia.Naamini hii itasaidia