Mwenyewe nimemshangaa!Ila wajuzi wanadai ni heshima kuitwa demu!
Mamaa DA nimeshangaa kweli dharau toka kwa wanaume mpaka wanawake tunatupiana...tunadharauliana wenyewe utadhani nini sijui!!Ila naona kabadili kwahiyo angalau amebadilika japo hapa jamvini!Nachoka kabisa mie aibu gani hii unamwita mwanamke mwenzio DEMU???????????? yaani sijui Chauro yuko wapi na Lizzy. Imenishangaza vibaya sana mpaka roho imeniuma............................
Madame... Mademoiselle....., Madam...... wabongo wanafupisha demu
Actually kuitwa Madam ni heshima kubwa sana kama vile kumuita mtu Lady
Ah Lumecha mie nimetoa mtizamo wangu wala hauhusiani na kutendwa...najua kutendwa ni sehemu ya maisha na ndio kulonkomaza but nilishamsamehe kitambo ila ah........ninayo kumbukumbu yangu kibindoni!! Hao wanaosema wamesamehe na kusahau ndo nawaonea wivu...........kusahau ndo kukoje? kuwa leo nikijakuuliza ulowahitendwa hutokumbuka au?
Mamaa DA nimeshangaa kweli dharau toka kwa wanaume mpaka wanawake tunatupiana...tunadharauliana wenyewe utadhani nini sijui!!Ila naona kabadili kwahiyo angalau amebadilika japo hapa jamvini!
Jamani mbona mnakua hivo? mada inanihusu mimi na mume wangu ila mnataka kuifanya ya kujua huyu dada aitwe dame ao aitwe nani? Mimi siishi dar na sijui neno hili lina maana gani huko ila hapa ninapo hishi neno hilo halina maana baya. Kwa kuhakikisha kila mtu anaelewa naongea kitu gani na kuwasaidia kufocuss kwenye swali muhimu la mada nimebadili neno demu na kusema mpenzi wa zamani aka ex. Now that the wording is fixed can we please go back to MY situation? Please...
Kwa hiyo red umenikosesha hamu ya kuchangia. Wewe ni mwanamke kweli unamwita mwanamke mwenzio DEMU????Kha napata mashaka kama wewe ni mwanamke unatabia chafu sana
Mimi ambaye nauchungu nae ni mwenye party kwa nini akutumie hizo picha?kwa nini anataka kuvunja ndoa yenu?ni mnafiki mkubwa,chunguza kwanza kwa nini mwenye party amefanya hivyo.
Asante sana Black... Kwa kweli nampenda sana mume wangu na naona ameongeza sana juhudi za kuonesha mapenzi... Nitajaribu na mimi kuongeza za kwangu tuone mwisho wake. Asante (THANKS button iko wapi when I need it???)
Kwa kweli sijui kwa nini alifanya hivo, sijamuuliza chochote na nilikata mawasiliano nae sababu nilihisi ali-support uhusiano huo... Picha alitumia watu wengi tu kama "vote of thanks" ila chakushangaza hajamtumia mume wangu, alinitumia mimi tu. Mume wangu hakujua mimi niliona picha hadi tulipo onana tena ana kwa ana (nilikataa kupokea sim zake hadi aliporudi nyumbani).Mimi ambaye nauchungu nae ni mwenye party kwa nini akutumie hizo picha?kwa nini anataka kuvunja ndoa yenu?ni mnafiki mkubwa,chunguza kwanza kwa nini mwenye party amefanya hivyo.
Nitafanya hivo mkuu. Asante.jambo la pili, dada yangu kila mara huwa napenda kuwashauri watu walio katika mahusiano ya ndoa ama uchumba kusoma vitabu vilivyoandikwa na watu wenye ujuzi na weredi wa mambo hayo. Kwa mfano kuna kitabu kinaitwa NDOA YANGU, NINGEJUA hicho kimejaa maarifa nami nakuhakikishia kuwa kitakusaidia sana kuimarisha ndoa na hasa magumu yanapokupata. Kitafute kwenye maduka ya vitabu
Kwa kweli sijui kwa nini alifanya hivo, sijamuuliza chochote na nilikata mawasiliano nae sababu nilihisi ali-support uhusiano huo... Picha alitumia watu wengi tu kama "vote of thanks" ila chakushangaza hajamtumia mume wangu, alinitumia mimi tu. Mume wangu hakujua mimi niliona picha hadi tulipo onana tena ana kwa ana (nilikataa kupokea sim zake hadi aliporudi nyumbani).
Asante kwa ushauri. Kwa kweli najua kama siwezi kupoteza kabisa picha hizo ila ninachoomba ni kuweza kukumbuka bila kuumia. ndio kusahau kwenyewe. sio kusahau tukio ila ni kusahau maumivu niliyo pata kipindi kile na kuacha kulia.Pole sana, kusamehe unaweza kabisa kusamehe ila kusahau sidhani kama inawezekana hata ikipita muda mrefu kiasi gani. Hivyo kama hili bado limo katika mazungumzo yenu mara kwa mara basi muhakikishie tu kwamba umemsamehe kabisa ili muendelee na ndoa yenu. Kuendelea kuumia kwa sasa si kitu cha ajabu kwa kuwa kitendo chenyewe kimetokea mwanzoni mwa mwaka huu hivyo ni miezi sita sasa lakini kadri muda utakavyokuwa unasogea utaona ahueni ya kuumia kwako lakini hutaweza kusahau.