Nimesalitiwa ila nashindwa kumuacha. Je, nimuoe?

Hapo Bro... Hamna mwanamke, mtoto wa miezi 10 anamuachaje aje kwako....???? Atashindwaje kukuacha wewe aende kwa kidume mwingine siku zingine???? Huyo inaonyesha anajutia kuacha kuua huyo mtoto mapema ili apate unafuu wa maisha kwako. Akiache kilichotoka tumboni mwake kisa wewe????? Tafakari bro....
 
Kweli kabisa kaka, hicho kinyongo ninacho mpaka sasa.... Aisee yani nina kinyongo afu nampenda saa zingine, yaani sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu kaza simama kama mwanaume unachojidanganya ww kua unampenda ila ukweli ni kua now hauna mpenzi naye hayo ni mazoea tu yanayokusumbua usirush mambo jipe mda moyo utauma ila utafika kipindi utakua haumi kama mwanzo jipe mda

Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
 
... wanawake Kama hao nawaweka nafasi ya pili,hafai kuwa mke wa kwanza...na akikataa uke wenza ndo amenpa sababu ya kummwaga kabsaa...
Nilijaribu kumwambia na akakubali na hata familia yake imekubali nimuoe mke wa pili, ila sasa hata huyo wa kwanza Kiukweli sina.. Hapo ndio tabu ilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana Mdogo kisaikolojia ni kwamba amekuja kupata justification tu hapa katika Yale aliyoyaamua moyoni na kichwani mwake japo ana hofu Fulani kutokana na maamuzi yake. Trust me, maamuzi ameshafanya anachofanya hapa ni kutafuta waungaji mkono kwa uamuzi alioufanya na si kutafuta ushauri kwa sababu nimesoma Uzi wake Na kusoma anayowaandikia watu wanaomshauri. Kiukweli anawafurahia sana wanaomwambia amuoe!

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa, sina maamuzi yeyote nilio amua mbona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moon boy ata mm limenikuta wiki ilo pita yani mwanamke nlishamtambulisha adi kwetu kabisa ati kaja niambia ana mimba ya mwanaume mwingine cha muhimu piga chini tuu kama mm sku ananiambia nmelia sku 3 nampenda sana lakini sitaweza tena kua nae asee! Maji yakimwagika hua hayazoleki tena

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa pole sana, ila bora wewe alisema mapema... Sasa mimi nimekuja kujua mtoto ana miezi sita ndio nakwenda kwao kitoa mahari... Afu familia yake inasema... Kama hutaishi na mtoto, muache mwenetu, au umleee... Aisee nililia ndugu yangu nililia kabisa yani.. Mana miaka minne yote tayari nilisha msaini kwenye maisha yangu.... Mpaka sasa yaani kitu cha kunisaidia kumuacha, nipate hata kahaba aisee linipende tu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisamehe ila huruma yako utajaijutia soon or later.

Kama huwajui wanawake endelea na NAMPENDA SANA yako.

Kwanza kama hukuwa na doubt kuhusu yeye usingekuja huku, ungeingiza ndani na mahari ungelipa.
Sasa ukiona kitu umekileta humu ujue kuna tatizo somewhere.

Stuka. Acha huruma. Hayo ni maisha yako.

Asikudanganye mtu eti anaweza kumuacha mtoto wake huko labda kwa bibi ukakaa naye peke yake.
Hapo mission ni kuwa akishaingia, ataanza kumkumbuka mtoto na bila shaka kwa vishawishi vyake atamleta tu hata ikibidi asingizie anaumwa sana, then what do you think will happen?

Baba mtu atakuja kumsalimia mwanaye bila wewe kujua, na kifuatacho....kumzibua mtoto masikio.

Kwa huyo mume mwenzio itakuwa anasema hawara hana talaka.....anagonga mdogomdogo,...

Ah ngoja Wengine wakupe ushauri.

Ila nawe usikilize moyo wako mdogo wangu.
Daaaahhhh Brother, thanks so much umeongea sana broo, thanks sana kaka, hongera zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli ufala hautaisha,

amechanua miguu juu akaruhusu akojolewe ndani na mimba juu, still unataka oa ?

pambaf,
 
HIZI NI CHATI NILIZOCHATI NAE LEO TAREHE 15-5-2020 SAA KUMI.... NASHUKURU KWA USHAURI
IMG_20200515_165357_611.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom