Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Mara tu baada ya kupost mada inayohusu Illuminat nilijikuta napokea kirusi chenye maandishi ambayo sikuyatambua na ghafla komputa mpakato yangu ikazimika kabisaaa na kuhisi jamaa wamenitupia dude maana hiyo nondo ilikua imeshiba sana details zao
nilipewa folder lenye nondo za hawa jamaa nikaona nianze kushirikisha lakini hayo ndiyo yaliyonikuta na hata aliyenipa akaniambia jamaa wako kazini muda wote na nikauliza kama nitafuatiliwa zaidi akasema hapo wamemaliza na kukupa onyo
kilichonifanya nihisini wao ni kwamba hiyo mada ilifutika mara tu baada ya kuituma
hii ni tahadhari kwa wengine jameni ama kama kuna aliyekutwa na janga kama langu atushirikishe hapa