Nimerudi wanajamvi. Kama utanikosoa au kunipongeza OWKEY!

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
matokeo yametoka leo mei mosi! Yani sijui kama utanipongeza au utanisodoa poa! Niliaga mkanipa baraka nimerudi kuripoti nilichokifanya!!

Nina acountancy B' commerce D' na economics S' lakin nina penat ya GS KWA HIYO NINA "DIVISION III.12"

NATANGULIZA SAMAHANI NA PIA IKIWEZEKANA ASANTE KWA PONGEZI..
Naomba kuwasilisha...
 
Mi naona aibu kukupongeza kwenye hiyo penalt ya B-)Gs mambo ya current kabisa halafu unao uwezo wa kuperuzi neti na waliosoma kijijini kama sio penalt watakuwa wafunga hadi goli umeaibisha kupata penalt ya vitu ambavyo vipo waziwazi rudi tena nitakupongeza ukipata chuo
 
Mh inaonekana umeridhika nayo....
Anyway kwa siku hizi umejitahidi sana ingawa kwa enzi zile hapa ni diploma ya ualimu
 
siku hizi mtu akipata Div. III eti anafanya hadi sherehe..
 
matokeo yametoka leo mei mosi! Yani sijui kama utanipongeza au utanisodoa poa! Niliaga mkanipa baraka nimerudi kuripoti nilichokifanya!!

Nina acountancy B' commerce D' na economics S' lakin nina penat ya GS KWA HIYO NINA "DIVISION III.12"

NATANGULIZA SAMAHANI NA PIA IKIWEZEKANA ASANTE KWA PONGEZI..
Naomba kuwasilisha...

Hongera na pole...
 
Back
Top Bottom