Nimerudi rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimerudi rasmi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Dec 27, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kijijini kuku wa kienyeji wengi sana, na mbuzi nimekula vya kutosha na nimerudi wapendwa. Rose1980 njooo uchukue magimbi nimekuletea mamaa, wengine wooote mtapata viazi mviringo!!!! Halafu maviazi maviringo yenu kumbe yanalipa saaanaaa msiyapeleke mjini maana kijijini yanahitajika na yana bei kubwa na kutajirisha wengi .
  Thank you
  Let us wait for a new year panapo majaaaliwa.
  GOD BLESS YOU ALL
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  karibu mkuu. ulipoondoka wengine tukaingia ila usihofu nafasi yako bado ipo. hope ulienjoy short vacation yako
   
 3. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,784
  Likes Received: 1,970
  Trophy Points: 280
  Ulikula bata wa Kisiju???
   
 4. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakula.... liondoe hapo hilo swali lako.... yaani subhanallah!!! kila post mwataka lazma neno bata liwepo utafkiri fashion,,,,
   
 5. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kwanini hukula mwaka mpya kijijini????
   
 6. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si katuletea viazi kakwmbia??? halaf kanini wee hukutaka arudi na sie tulimmiss kama nini we wamwambia akale mwaka mpya,,,
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  asante sana kwa kunikumbuka na kwa mzigo ulioniletea...dah thax so much!1
  ningejua upo uko ningekuagiza MAYAI YA SIMBLIS...au cjui maziwa yake..haha hah ivi ana maziwa yule ennh? ennh ivo ivo ningeshukuru
  bt thax god km umerud salam
  welcome bak ma papi pai..hpfull auataondoka tena ukaniacha mpweke mie...miss u badly..miss u badly..!!!!!!!!!!
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tenki yuu sanaa
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  I'm here now
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Alikuwa wanataka kuchakachua nini ?
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mwaka huwa unaliwa eeeh? Nilikuwa sijui
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  umenibebea maziwa ya simblis?
   
Loading...