kyanaKyoMuhaya JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,952 Reaction score 939 Nov 26, 2012 #1 Nimepitiliza hadi jikoni, wana JF nimerudi mlangoni, "NGO NGO ........hodi sebuleni, naomba mnikaribishe"
Nimepitiliza hadi jikoni, wana JF nimerudi mlangoni, "NGO NGO ........hodi sebuleni, naomba mnikaribishe"
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,957 Reaction score 13,935 Nov 26, 2012 #2 Karibu sana JDF mkuu.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,957 Reaction score 13,935 Nov 26, 2012 #3 kyanaKyoMuhaya said: Nimepitiliza hadi jikoni, wana JF nimerudi mlangoni, "NGO NGO ........hodi sebuleni, naomba mnikaribishe" Click to expand... Ulipotelea wapi?
kyanaKyoMuhaya said: Nimepitiliza hadi jikoni, wana JF nimerudi mlangoni, "NGO NGO ........hodi sebuleni, naomba mnikaribishe" Click to expand... Ulipotelea wapi?
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,415 Reaction score 3,047 Nov 27, 2012 #4 Karibu tena.
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Nov 28, 2012 #5 Kwamba unakuja tena, ulikuwa humu kwa ID gani kabla? Anyway karibu sana.
kyanaKyoMuhaya JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,952 Reaction score 939 Nov 30, 2012 Thread starter #6 Wakuu, nilijikuta nagonga vyumbani wakawa wanatoka wana jamvi na kunishangaa nilikotokea. Mf. Preta,Bishanga, Sweetlady na ........... Narudi nafuata diary nimeweka majina.
Wakuu, nilijikuta nagonga vyumbani wakawa wanatoka wana jamvi na kunishangaa nilikotokea. Mf. Preta,Bishanga, Sweetlady na ........... Narudi nafuata diary nimeweka majina.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,292 Reaction score 111,446 Dec 2, 2012 #7 karibu sana jamvini...