Oooh yah.......
Du...hiyo ooo yah usiwe unaiandika usiku watu tukiwa kitadani...
Ndiooo.........unadhani Yaeda inapatikana hovyo hovyo kama sio mke au mume wa balozi.........?
Hivi si tumehamia bashnet?:what:
Yah......ni Yaeda.......kata ya Bashnet dear..........Kwani tunahama tena........?..........
Hivi si tumehamia bashnet?:what:
Karibu saaaana Kaka...Nimefurahi saaana kukuona tena..!!
Nambie chochote kama sehemu ya kunikaribisha tena ... I missed JF
Aise....
Big up sana mkuu hili ua nimelilenda ni shiidah