Nambie chochote kama sehemu ya kunikaribisha tena ... I missed JF
Nambie chochote kama sehemu ya kunikaribisha tena ... I missed JF
JF imebadilikaje... Lol
Najutafutaje.. Niibonx plzzzzz
Sio kwamba JF hapatikani.. Was busy kiasi can't share anything in here.. Thank God I am back in Tanzania
Kumbe kuna sehemu jf haipatikani...
Ndiooo.........unadhani Yaeda inapatikana hovyo hovyo kama sio mke au mume wa balozi.........?
Halaf wewe ujue niko mji wenu... Shaurilo
Te te te...hao ndo wana access ya mtandao wa bure....