Nimerudi Bongo - TZ

Karibu mwaya sio tupo tu naona watu hawataki kukukaribisha sijui kwanini???

Wapendwa wana JF napenda kuwajulisha nipo Bongo tena kwa mara nyingine,Wapenzi wangu na mahasimu wangu wote ni vema mjue tusije onana mkasema sijawaambia.Kijiwe changu ni hapa hapa JF 24/7
 
kwani timor ulikuwa umepotelea wapi?
 
Back
Top Bottom