Alifanya kazi BOT Arusha au Iringa?Nataka kujua tu kama mzima. Mtu akinitumia na picha nitashukuru sana. Alifanya kazi BOT Arusha. Daines Mtawa mama yake alikuwa akifanya kazi Iringa Retco!!
hata marehemu pepe kali alimpoteza Arusha
Kwa wale wa Iringa. Jamani naomba kujua habari za Daines Mtawa. Niliishi Iringa 1995 hadi 1998. Daynes alikuwa akiishi Kihesa bombani. Aliwahi kufanya kazi BOT Iringa. Alikuwa akifanya kazi ofisi za Comfort. Je bado yupo Iringa? Mnaojua nijulishe tafadhali...
Shikamooo marahabaaa,
teh teh teh mambo ya Hidaya
Asee hili li Hidaya nlikuwa nalijua lilikuwa bonge la mtu karibia amfikie Kabasele mwenyewe. Alikuwa na mcrusier flani ile version ingine ya hardtop. Dah Hidaaya!
Kwa hiyo pale Kabasele +Hidaya=300 kg kasoro hivi kwenye kitanda kimoja