jamani kwa yeyote alenionea funguo za mlango Wa gari langu lile aah .....acha utan bana Kwan w ujui gar lang lile linawaka mpaka upige jeki ..........umesema...... eee...eeeh hilo ilo sa funguo zake nlzokuwa nawekaga mfuko wa nyuma si unazikumbuka?.....ee zile zile nyeupe .....sa ka umeziona nijulishe zawad :;m5 babake