Hawezi kukuelewa coz yupo kwenye maumivu na jamaa anampenda kwaio kukuelewa ni mpka apone maumivu.amove on japo sio rahsiMkuu usijal hpo unaanza kukomaa na maumivu ya mapenzi, inatakiwa upitie maumivu tena kama mara 3 hivi, baada ya hapo unakua concord hutokuja umia tena. Mapenzi yapo yasikutawale, ila uyatawale. Na uyachukulie ni kitu cha kawaida sana (najua sasa hivi itakua ngumu kunielewa ila tutaelewana kidogo kidogo ngoja tuoneshane makali ( in dk shika )) ...
NOTE: tambua unapendwa na watu wengine wazuri tu kuliko huyo ngurumbili anayekutesa, sasa uking'ang'ania utakua kipofu hautaweza kuona hao wanaokupenda.
Mwisho, pole sana ila ndio vzr unazidi kukomaa kiakili na kimapenzi, na ninapenda ikutokee tena ili uyazoee.
Dawa sio kukataa tatizo akili ina trick nyingi sana solution ni kulikubali apate maumivu aumieee alieeee awazeeee apate stress zen apone akipona apo basiiii yupo free ila akikandamiza au akikwepa basi tatzo litamwqndama sanaZungumza na ubongo yafuatayo.
Ukifanya hivyo hautakuwa na stress tena na hata ikitokea umepata tatizo lingine kubwa wewe tumia kanuni ya kuuambia ubongo kuwa hakijatokea chochote.
- hujawahi kuwa na huyo mpenzi
- hakijatokea chochote
- huna mpenzi na upo huru
Jipe muda utakua sawa tu msamehe jusamehe na we we pia usiingie kwenye mahusiano mapya utajidanganya bure jipe mdaAsaante ila inauma kweli nimetoka nae mbali nimeshare nae mambo yangu binafsi mengi sana nilimuamini sana. Mda mwingine najiuliza pengine alikua anatafuta njia ya kuachana na mimi akaona mi king'ang'anizi. Akaamua kunionyesha kabisa kwamba bwana ee ondoka nna mwanamke tayari.
Hapa nawaza sijui nikamate mzungu tu huku niliko duh
Maskini daah alishiriki kumuumiza mwanamke mwenzie dah so sad.....Haya mambo haya, kuna siku nilikuwa sehemu jamaa mmoja alikuwa na dada yake wanakula kitimoto akapigiwa simu na demu wake lakini ikaonyesha hampendi huyo demu. Alichofanya alimwelekeza dada yake apokee hiyo simu ajifanye ni mchumba ake, dada mtu akafanya hivyo akamfokea dada wa watu asimfatilie tena mchumba ake mpiga simu akaomba samahani tu.
Mkuu usijal hpo unaanza kukomaa na maumivu ya mapenzi, inatakiwa upitie maumivu tena kama mara 3 hivi, baada ya hapo unakua concord hutokuja umia tena. Mapenzi yapo yasikutawale, ila uyatawale. Na uyachukulie ni kitu cha kawaida sana (najua sasa hivi itakua ngumu kunielewa ila tutaelewana kidogo kidogo ngoja tuoneshane makali ( in dk shika )) ...
NOTE: tambua unapendwa na watu wengine wazuri tu kuliko huyo ngurumbili anayekutesa, sasa uking'ang'ania utakua kipofu hautaweza kuona hao wanaokupenda.
Mwisho, pole sana ila ndio vzr unazidi kukomaa kiakili na kimapenzi, na ninapenda ikutokee tena ili uyazoee.
Huu mwandiko ni very familiar kwangu!! Do i know you? Fifi JUkisikia watu wanasema kama kusoma hujui hata picha itakufunza. Leo picha imenifunza imeniuma utadhani kanioa. Huyu mwanume nilidhani Tunapendana sana binafsi nmpenda kanipa nini? Hata sijui nampenda tu takribani miaka minne sasa tuko mbali bado tuko kwenye mchakato wa kuwa pamoja.
Well tunajua mwnaume kuishi mda mrefu bila mwanamke ni uongo ila hta kama una iba huwezi kumuonyesha mkeo au mpenzi wako mwanamke wako wa nje,labda kama umemchoka.
Hivi karibuni mpenzi wangu huyu ninaempenda sana aliniambia simu yake imeharibika so hana smartphone anatumia local call okey mi nakaona sawa tu akipata pesa atanunua sikuwa na shaka mpaka siku moja nampigia hiyo local call simu inapokelewa na mwanamke nikashtuka, nkasema labda ndugu yake nkaona nichunguze zaidi nikampigia tena dem kapokea
ananiambia jamaa kaacha simu yake hapa anachaj sasa nkajiuliza kama anachaj ww unapokea simu kama nani na msg unajibu.
Akaniuliza kwani wewe nani mbona nna maswali sana. Nikamwambia mm ni mpenzi wake , nilichojibuwa niliishiwa nguvu nakukuu
" pole wee mi ni mke mwenzio"
Nilijikuta nafreeze nikimuuliza mpenzi wangu ananiambia huyu dada ni best friend wake walibadilishana simu yaani yeye akachukua smartphone na dem anatumia yake.
Sasa nkabaki nawaza kama mlibadilishana simu kwanini umpe na namba yako na msg zako anakujibia tena kwa jeuri.
Chakushangaza mpenzi wangu ananiambia nisimuamini huyu dada anataka kuharibu mahusiano yetu. Na bado nampenda.
Wanawake wenzangu hapa inakuaje ? Je wewe ikikukuta hii utafanyaje?
Aombaye mabaya kwa mwenzie umpata yeyeMkuu usijal hpo unaanza kukomaa na maumivu ya mapenzi, inatakiwa upitie maumivu tena kama mara 3 hivi, baada ya hapo unakua concord hutokuja umia tena. Mapenzi yapo yasikutawale, ila uyatawale. Na uyachukulie ni kitu cha kawaida sana (najua sasa hivi itakua ngumu kunielewa ila tutaelewana kidogo kidogo ngoja tuoneshane makali ( in dk shika )) ...
NOTE: tambua unapendwa na watu wengine wazuri tu kuliko huyo ngurumbili anayekutesa, sasa uking'ang'ania utakua kipofu hautaweza kuona hao wanaokupenda.
Mwisho, pole sana ila ndio vzr unazidi kukomaa kiakili na kimapenzi, na ninapenda ikutokee tena ili uyazoee.
Endelea kujidanganya ukiona umesamehewa kirahsi jua nae amewapanga washkajiKitu nachopendea wanawake ukichepuka akagundua ni rahis sana kumdanganya na akakuelewa sijui kwann wanakuwaga rahis kudanganyika
Hakuna chochote ukwel ni kwamba mwanamke ni kiumbe dhahifu akiwa na mtu anaejua kushawishi vile vile pia kuna wanaume dhaifu sema wachache mnoEndelea kujidanganya ukiona umesamehewa kirahsi jua nae amewapanga washkaji
Teh mpe moyo wa matumaini japo kiasiWw tulia tu hadi uje uone katupia picha cha harus fb ndio utajua la kufanya
Teh πππEndelea kujidanganya ukiona umesamehewa kirahsi jua nae amewapanga washkaji