Nimepima nina tatizo la nguvu za kiume

Nimepima nina tatizo la nguvu za kiume

Mshirikishe Mungu wako..jiombee kataa Hilo tatizo kwa imani utapona. Fuata mpangilio mzuri wa vyakula na uanze mazoezi bila kusahau zoezi la kegel.

Kunywa Sana uwatu + mbegu za maboga
Bila kusahau yellow or black maca..kila kitu kitakuwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Bro,

Usikate tamaa ila ikubali hali uliyonayo na tamka kwa Imani kuwa Mungu amekujaalia uwe hivyo.

Unaweza kumaliza Matunda na Mbogamboga zote za Soko la Kariakoo na wala usipone ingawa umeshauriwa utumie Matunda na Mbogamboga.
 
1.diet; ndizi mbivu, mboga mboga dagaa pamoja na maji.
Achana na caffeine drinks, tea, coffee, soda. Chemsha mchai chai.
...akiongeza na kitunguu swaumu, tangawizi asali na mdalasin itapendeza. Pia maji ya moto asubuhi na jioni ni dawa.
 
Nakuonea wivu mpaka. hela zitakuua.
 
Utaanzaje katumia dawa kabla ya kwenda hospital. Hizo dawa ulizotumia huko nyuma kabla ya kwenda hospital kucheki tatizo ndizo zilizosababisha hayo matatiz ya mfumo WA damu.
 
Tatizo lako la kwanza ni hofu. La pili hujawa na mwenza utajuaje uwezo wako. Njoo PM tushauriane. Acha kunywa madawa, ni shida ya kifikra tu hiyo inaisha yenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah pole mkuu. Nilishawahi kua na tatizo la kushindwa kugegeda kipindi fulani. Daah kiukweli nilikua na stress za muda mfupi, ila mdogo mdogo nilianza kupata hisia nikiwa na manzi nadhani hofu ndo lilikua tatizo langu kuu.

Ila hili lako ni la tofauti kidogo aisee na umesema hata hisia huna, kuna mdau hapo kauliza vipi ukiangalia porn inakuaje??
 
Lemidmckon mkuu ulikwenda hospitali gani? ulijielezea vipi huko hosptali? Na ulikutana na Dokta wa fani gani? Na je unaendeleaje kwa sasa
 
Jiandae Kutiwa ni aibu kubwa sanaa mbooo kutosimama😀😀😀
 
Habarini za muda huu ndugu zangu Wana jf,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, nina tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sasa (takriban 9-10 years) yaani uume umelegea sana sana na hauwezi kusimama kiasi kwamba siwezi kufanya chochote hata hisia za mapenzi/msisimuko haupo kabisa kipindi cha nyuma nimetumia sana dawa mbalimbali tena kwa gharama kubwa mno bila mafanikio.

Hivi karibuni nimeenda kupima hospital nikaambiwa nina matatizo ya mfumo wa mzunguko wa damu na matatizo kwenye moyo kuna shida kwenye zoezi zima la kusukuma damu, parasympathetic nervous system, pelvic muscle problem (associated with pelvis pains), na kuhusu mambo mengine niko sawa.

Mfano Kisukari, pressure (normal), Ini, Figo, Hormones, Prostate gland, uzito (61kg,175cm uref), cholesterol sina, na mambo mengne kama sigara, viagra, drugs, masturbation, pombe n.k wala sihusiki navyo kabisa.

Naombeni ushauri na tiba ndugu zangu!

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole kwa tatizo la nguvu ya kiume dawa ipo ya kumaliza hilo tatizo nione kwa wakati wakoili nipate kukutibia hayo maradhi yako uguwa pole.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom