Aah wapi,Kuna mmoja nampigia simu hata hapokei,akaja kunikatia simu,miezi miwili baadae ananipigia mamake anaumwa jino,anataka kung'oa,nimpe ten,[emoji23][emoji23][emoji23]ko humsaidii kisa umekosa ushirikiano.
mpe bwana then ataanza kuonesha ushirikiano tu
Wewe unaombaga kuanzia sh ngapi?Huyo manzi anaombaje 10000 jaman, kuomba ni kujidhalilisha basi ukiamua kujidhalilisha hivyo omba pesa ndefu kuanzia laki, ona sasa umeletwa JF kisa elfu kumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waulizeni kwanini wanafanya hivyo.
Hua sitaji kiasi narusha tu ndoano alafu mlengwa anajiongeza 50 au laki. Kwanini nimuwekee limit.Wewe unaombaga kuanzia sh ngapi?
Embu fanya sample tuone jinsi unavyorusha ndoanoHua sitaji kiasi narusha tu ndoano alafu mlengwa anajiongeza 50 au laki. Kwanini nimuwekee limit.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah wapi,Kuna mmoja nampigia simu hata hapokei,akaja kunikatia simu,miezi miwili baadae ananipigia mamake anaumwa jino,anataka kung'oa,nimpe ten,
Nikampa akapokea na Asante ya kimkato Kama vile ni wajibu wangu kumpa hela.
Nikaona huyu atanichosha akili,nikamdelete moyoni
Nyie watu mbona mnarahisisha sana mambo.Tatizo sio elfu kumi tatizo ni dharauSasa elfu kumi tu ndo umseme hivyo mkuu, kama unayo mtumie, kumsaidia mtu si mpaka nawe ufaidi kutoka kwake.
Anaomba kwa watu 30 ni laki tatu hiyo ujueHuyo manzi anaombaje 10000 jaman, kuomba ni kujidhalilisha basi ukiamua kujidhalilisha hivyo omba pesa ndefu kuanzia laki, ona sasa umeletwa JF kisa elfu kumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleHuyu demu nlimtongoza enzi za pointio Pilato, Long time ago in Betilehemu, Sikumla , mambo yakawa mengi mambo yakawa mambo , next day nkapita hivi kiukweli ni almost 4 years now, Juzi nkagongana nae social media , kanipa no tukachekiana, Namchatisha hajibu sasa leo msg kibao morning ,How are you , Bebe,
umeamkaje
Nkajiuliza kuna nini Mara paap ntumie 10000 nko na shida nayo nitarudisha ooh sijui bebe wangu yupo china hatuwasiliani ikapanda ikashuka, sasa msg ya ntumie Hela sijaiona😂😂😂 ipo kwenye notification tuu inazubaaa .
Mtihani wa kutuma hela nlipata 0 ,hivi mna nini kina dada