Nimepigwa mzinga

hiyo hakunaga mkuu , Nijaze jaze tuu sasa nashangaa morning nyingi my ah nkajiuliza kunani , angekuja tuu streiti fowadi , kuwa nisaidie bila kujificha kwenye kichaka cha I lavu you mbona nsingewaza,

ila ye naye kukupamba leoleo na kizinga leoleo[emoji23][emoji23][emoji23]anakwama wap
 
Dada yangu ningekuwa na hela ningekupa, walau ww ndo umeelewa kwann wanaume tunalalamika kupigwa mizinga, shida sio kutoa hela, shida ni kuwa tukipigwa mzinga na mdada baada ya kutongoza, tunahisi kabisa kuwa hatupendwi, na tunatumika kipesa Aidanna
Amwambie huyo wa China sasa, sema sometime na sisi akili zetu zinakwenda sayari ya Pluto huko ndy maana mnalalamika hapa tunataka nini wakati na sisi hatujui tunachokitaka😀😀😀😀😀😀😀
 
Nenda pm umtumie Hiyo hela kama unayo Sio unabweka hapa we mwenyewe ukiambiwa Tuma Hiyo hela huna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie aje geto...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…