Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
Hapa kazi tuSasa elfu kumi tu ndo umseme hivyo mkuu, kama unayo mtumie, kumsaidia mtu si mpaka nawe ufaidi kutoka kwake.
Ni 7800 mkuu, au hii ilishafanyiwa discount tenaAmri ya tisa kifungu kidogo chakwanza.
Marufuku kutuma pesa kwa pisi kabla hujamla. Na ata ukimla basi usitume pesa zaidi ya shilingi 3000.
Mwisho wa kunukuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
wavulana Tupo wengi , ngazi ya wanaume hatujafikia , kuna raha yake kuwa mvulana maana unafanya mambo ambazo wanaume hawafanyi karibu uvulanani mkuu
Tulishusha kiasi kutokana na hali kuwa ngumu
Naam akitaka aifate magetoniNa katika ibara hiyohiyo kwenye kifungu kidogo C imekataza kutuma na ya kutolea
Sent using Jamii Forums mobile app
shida siyo kutuma since , nimepata mawasiliano nae tena , text hajibu kwa wakati text inakuwa delivered mda huu inajubiwa masaa 2. baadae , Angeonesha ushirikiano tangu day one wala hata nsingewaza ngemwekea20 ,
Wadada muwe mnaonyesha ushirikiano hata kama wakinafiki alafu ndo mnipige mi wala hata siwazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo manzi anaombaje 10000 jaman, kuomba ni kujidhalilisha basi ukiamua kujidhalilisha hivyo omba pesa ndefu kuanzia laki, ona sasa umeletwa JF kisa elfu kumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kibomu kikitiki ataonesha ushirikiano tuYaani ushirikiano zero, then bila haya anarudi kukupiga kibomu.[emoji3]
atamfanya tonji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kibomu kikitiki ataonesha ushirikiano tu
Mtu humtaki unamuomba hela ya nini kama siyo kuendekeza shida, angekukubali saizi mambo safi.
Sema kadanganyika na mtu hiyo wa China, na mkomeshe usimpe, pumbavu zake
samahani mkuu mimi ni mvulana , Alafu siyo kwamba sina baasi tuuu nimeamua au unataka nipige nazo picha , Tatizo mimi ni mvulana ,Yani wewe mkuu unaombwa elfu 10 unakuja kuripoti JF
Mungu tuhurumie sana wanaume wa kizazi hiki. Hivi kama huna si unasema hauna tu, kuna kesi gani kwani? Sasa mwanaume ukiomba hela na mwanamke ukaja kulia mitandaoni hivi uanaume wako wa kuwa mtawala, muwezeshaji, kiongozi wao unakuwa wapi sasa?
Dogo kama unayo mpe na kama huna piga kimya acha kujichora na kumdhalilisha dada wa watu.
hiyo hakunaga mkuu , Nijaze jaze tuu sasa nashangaa morning nyingi my ah nkajiuliza kunani , angekuja tuu streiti fowadi , kuwa nisaidie bila kujificha kwenye kichaka cha I lavu you mbona nsingewaza,[emoji23][emoji23][emoji23]ko humsaidii kisa umekosa ushirikiano.
mpe bwana then ataanza kuonesha ushirikiano tu