Huyu demu nlimtongoza enzi za pointio Pilato, Long time ago in Betilehemu, Sikumla , mambo yakawa mengi mambo yakawa mambo , next day nkapita hivi kiukweli ni almost 4 years now, Juzi nkagongana nae social media , kanipa no tukachekiana, Namchatisha hajibu sasa leo msg kibao morning ,How are you , Bebe,
umeamkaje
Nkajiuliza kuna nini Mara paap ntumie 10000 nko na shida nayo nitarudisha ooh sijui bebe wangu yupo china hatuwasiliani ikapanda ikashuka, sasa msg ya ntumie Hela sijaiona😂😂😂 ipo kwenye notification tuu inazubaaa .
Mtihani wa kutuma hela nlipata 0 ,hivi mna nini kina dada