Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
Msiwache kabla hamjajua kama mnaweza bila kua nae au laa,ona sasa unalalamika mie ntakuelewa wengine watakuona sie..
Mpe muda fanya insue zako zngne nw
Atarejea mpe mda,na akisharejea usimkere tena wakati bado unampeda na kumkosa huwezi...sijakupata vizuri mkuu
Inaumiza sana kumbembeleza mtu kosà usilolijua daahAtarejea mpe mda,na akisharejea usimkere tena wakati bado unampeda na kumkosa huwezi...
Na wewe M block tu ngoma inakua draw, ama nin mtafute kupitia no ingine utampata
Atarejea mpe mda,na akisharejea usimkere tena wakati bado unampeda na kumkosa huwezi...
Hivi mapenzi kwanini yanakuwa magumu hivi.. Mimi nimenuniwa bila sababu ya msingi wala secondary masaa mawili nabembeleza bila muafaka khaaaaaaaaà
Pole wewe mwenzangu maana mtu akiwa mbali kunaugumi.but jipe moyo anakujalibu tu huyo
Duuuh ngumu kumeza hii..siwezi kabisa ndugu yangu.nimejikabidhi kwake mwili na roho nampenda too much labda ndo maana ananifanyia hivi au kudeka tu sielewi.Piga chin
[emoji18] [emoji18] [emoji18]Nyanya mbichi jitahidi uive kwanza